Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Sadick Mtulya MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (Cag), Ludovick Utouh amesema kuwa upo uwezekano wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kufilisika baada ya kubaini kuwa kila...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari, Karibu ujipatie matairi Kwa bei za kizalendo kabisa, Matairi ya magari makubwa pamoja na magari madogo yote yanapatikana. Tunauza matairi ya brands mbalimbali na size zote. Location...
0 Reactions
0 Replies
344 Views
Leo jumatano ya tarehe 31 Julai 2024, ni siku ya mnada wa Hatifungani ya miaka 20 yenye riba ya 15.49% kwa mwaka. Kwa watakao shinda katika mnada huu watakuwa na dhamana ya miaka 20 kama...
12 Reactions
71 Replies
5K Views
Katika pitapita zangu sijaona thread mahususi yenye idea mbalimbali za biashara ama uwekezaji itakayoweza kuwasaidia wenye mtaji mikubwa kuanzia Milioni 100 hadi 500 kuanzisha biashara...
7 Reactions
118 Replies
6K Views
Habari za muda huu wakuu, Baada ya kupitia discussion nyingi kuhusu UTT AMIS then nikaamua kujiunga na hii taasisi ya kwa nia ya kukuza/kuchanga mtaji kwani nimeona ni sehemu nzuri...
7 Reactions
28 Replies
5K Views
Habari wakuu mbalimhali: 1. Naomba kujua namna ya kuwa SUPER AGENT wa mitandao ya SIMU ya YAS/TIGO na VODACOM/ M-pesa. 2. Pia naomba kujua utaratibu wa kua na TigoShop au Voda Shop mfano wa hizi...
8 Reactions
26 Replies
4K Views
Wadau habari za saa hizi ningependa Leo tusambaziane mawili matatu kuhusu biashara ambazo haziku dhaniwa lakini zimetoa watu. Aisee wakuu kuna wakati mwingine maisha yanakufundisha kwamba...
6 Reactions
34 Replies
3K Views
Leo nimefikiria jinsi biashara au kazi za watu mbali mbali zilivyo kufa gafla kutokana na mabadiliko ya teknolojia. Teknolojia inaendana na muda lakini watu wengi kusoma alama zinawapa wakati...
3 Reactions
4 Replies
403 Views
"MCHAKATO UJENZI WA KIWANDA CHA KUCHAMBUA MBEGU ZA PAMBA IGUNGA WAANZA " Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Mohamed Bashe amemuhakikishia Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa kuwa...
1 Reactions
5 Replies
683 Views
Kuna mtu ameniuliza swali lenye utata nikaona ni vyema kuandika makala hii ili kutoa ufafanuzi yakinifu. Ameniuliza "kuna tofauti gani kati ya motivational speakers wa Ulaya na Marekani kama...
8 Reactions
11 Replies
9K Views
Habari wanaJF, Leo ni siku nyingine tena. Nimeamka salama, na ninaandika maneno haya kwenye maktaba fulani hivii. Napenda maktaba kwa sababu ya utulivu unaonipa kuwaza na kutia humu. Nilipitia...
7 Reactions
6 Replies
999 Views
Mimi ni kijana mpambanaji, baada ya kupambana sana na kazi ya bodaboda kwa muda mrefu sasa nahitaji kuiacha na kufanya mishe nyingine, katika kuwaza sana kipi naweza kukifanya nikapata wazo la...
5 Reactions
28 Replies
19K Views
Ni muda wa miezi kadhaa, sasa niko na mtaji mkononi wa zaidi ya 40m nimejitahidi kutafuta biashara ya kufanya nimegonga mwamba. Nimetafuta frame ili nianze biashara ya uwakala wa pesa, Bank...
74 Reactions
360 Replies
35K Views
Salaams wana JF, Tafadhalini sana, naomba ambaye ana contact za wauza mbao wa Msumbiji, au wa TZ wanao import mbao kutoka Msumbiji, anipatie. Nahitaji Mahogany, Afrormosia, Mninga, Panga...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba kufahamu wateja na soko la kuku wa kienyeji Dodoma na mikoa jirani
7 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari wanaJF, Ni mimi tena, na nimeamka salama. Nimechelewa kuingia kazini leo, ila Mungu ni mwema nimeanza. Kuna habari njema naitegemea kutoka sehemu (ntawajuza mambo yakiiva). Ngoja tuendelee...
6 Reactions
1 Replies
551 Views
Ni mashine ya kukaanga karanga. Nataka kuinunua hii kwa ajili ya biashara, natamani kujua ulaji wake wa gesi upoje, yaani kwa mfano mtungi mdogo wa kilo tano unaweza kukaanga karanga debe ngapi...
2 Reactions
14 Replies
962 Views
Hivi kuna mtu humu hafanyi mining ya PI ? Tafadhali chukua link hiyo mapema Mambo ya kutekana tekana baadae mgodi ukishatema sisi hatutaki wakati link ya bure ulipewa Pi Network - Home...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wazee chukulia nina billion 5 kutoka kwenye biashara zangu mbalimbali. Nimeona tangazo la UTT Amis kwamba wanagawa gawio zuri kwa mwaka ndio nikataka kuwauliza nyie rafiki zangu wa humu...
3 Reactions
38 Replies
3K Views
Wakuu nime-estimate matumizi ya familia yangu, bills na msosi kwa mwezi jumla yake ni 250k. Je mfuko gani UTT unaoweza kunipa fixed commission ya 250k kwa mwezi?
21 Reactions
344 Replies
59K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…