Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Google Workspace, zamani ikijulikana kama G Suite, ni seti ya zana za kidijitali zilizotengenezwa na Google kwa ajili ya kuboresha usimamizi wa biashara na taasisi. Ikiwa unatafuta njia ya kufanya...
2 Reactions
2 Replies
435 Views
Jinsi ya kutafuta wateja, kwa freelancers, wafanyabiashara, agency owners, watoa huduma na biashara yoyote inayotegemea watu kuuza. Nitaeleze Jinsi ya 👉Kuwafikia / kukusanya watu wengi...
2 Reactions
2 Replies
434 Views
Habari wakuu. Mimi ni Dalali wa mavitu yote lakini nipo na wazo ambalo hili ni Kwa wale Risk Taker kama Mimi. Nahitaji mtu mmoja awe mwanaume au mwanamke ambaye yupo tayari Kwa huu mpango wangu...
4 Reactions
28 Replies
1K Views
Habari wakuu. Naomba kujua hizi rehamu /welding electrode (sticks za kuchomelea) zinazotoka China ambazo Ni E6013 2.5mm ,maarufu Kama gauge12 naweza zipata wapi kwa Bei ya jumla ambayo wanauziwa...
3 Reactions
9 Replies
825 Views
Nataka nyumba ikiwa imekamilika nihamie tu. Nyumba iwe kubwa na ushuwani.
6 Reactions
43 Replies
2K Views
Nina gunia za mpunga. Zenye ujazo wa debe 7, asilimia kubwa ya mpunga huo ni kalamata. Bei ya gunia ni laki moja na elfu kumi. (110,000/=) Karibu Umeuzwa. Ahsanten
7 Reactions
28 Replies
2K Views
Je kwa biashara ni ipi bora kati ya Lipa ya voda na lipa za mabenki kama CRDB au NMB? Ni ipi haina makato makubwa kwa mteja (wakati wa malipo) na mfanyabiashara (wakati wa kutoa ela)? Naomba...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Bei ya Quartz Crystal ikoje kwa sasa kwa Soko la Tanzania na nje , mwenye uzoefu please share your thoughts
1 Reactions
1 Replies
409 Views
Ndiyo hela ya mwisho niliyonayo Mfukoni mwangu na ikiisha tu sijui nitaishije hapa Mjini na Uswahilini niliko. Nishaurini haraka je, hii Shilingi Elfu Hamsini (Tsh 50,000/=) tu niliyonayo...
5 Reactions
57 Replies
12K Views
Imeniuma Sana kusikia kuwa TZ tunanunua kuku kutoka Brazil, Marekani, Saudi Arabia, UAE, Cyprus na South Africa. Unadhami sababu ni nini?
9 Reactions
29 Replies
2K Views
Salaam Mwenye uzoefu na kampuni inayouza viwanja, anisaidie Yapo ninayoyajua ila ujanja mwingi Karibuni
1 Reactions
9 Replies
949 Views
Kiwanda cha kubadilisha gesi asilia kuwa mafuta (Gas-to-Liquid - GTL) ni njia nzuri ya kukabiliana na kupanda kwa bei ya mafuta nchini Tanzania. Gesi asilia inaendelea kuwa rasilimali muhimu na...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakati uwekezaji wa miradi Kwa mwaka 2024 ukivunja rekodi iloyowekwa mwaka 2012 kwa.kusajili zaidi.ya miradi 900 yenye thamani ya Trilioni 20 ,Kuna Mikoa ambayo ndio imenifaika zaidi na Wingi wa...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Habari, Karibu ujipatie matairi Kwa bei nafuu kabisa tunauza matairi ya brands mbalimbali kama vile. 1.CENTARA 2.TRANSTONE 3.DOUBLECOIN 4.RUADLUX 5.VALIANT 6.TIMAX 7.SAFERIN Hizo ni...
1 Reactions
4 Replies
482 Views
Mimi ni Dr tabibu, nimeajiriwa serekalini mkoa wa Mwanza. Nahitaji ushauri, mkononi sasa ninamtaji wa 30m, nilikuwa nataka nianze biashara ya pharmacy, lengo langu ilikuwa mwaka huu niende chuo...
12 Reactions
107 Replies
7K Views
Nipo Geita kiutafutaji kwa miaka 6 sasa. Mwaka 2017 kuliibuka machimbo jirani na ninapoishi. Kama utakuwa una ABCs za uchimbaji mdogo wa dhahabu, kuna mashimo mafupi (sesa) na marefu (Rongo)...
124 Reactions
409 Replies
77K Views
1. PSPF TOWER (MAWASILIANO) 2. TPA TOWER 3. PSPF TWIN TOWERS 4. MWALIMU NYERERE FOUNDATION TOWER 5. MZIZIMA TOWER (JIPYA, Bado kidogo Sana kukamilika)
2 Reactions
47 Replies
3K Views
Mjasiliamali yoyote anayetaka korosho safi kubwakubwa ziliobanguliwa safi mimi ninaziuza kwa bei rafiki ya 18000 nipo Masasi Mtwara nicheki pm
2 Reactions
43 Replies
2K Views
Mafunzo ya Ujasiriamali na Uendeshaji wa Biashara Kimataifa kwa Wanadiaspora wa Visiwa vya Comoro Mgeni Rasmi: Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika...
1 Reactions
5 Replies
495 Views
Habari zenu wapendwa kwa Tanzania kwa sasa ni biashara gani. Ukiifanya inaweza kukufanya kuwa millionaire au billionaire?🙏
13 Reactions
83 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…