Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari Wakuu, naomba mfanya biashara wa nafaka tupatane tufanye biashara ya mtama.. requirement kwanzia walau tani 40 kwenda juu.. Asanteni.
0 Reactions
10 Replies
883 Views
Kuna jamaa aliniuliza kuna changamoto gani au kero zinakumbananazo car wash za hapa bongo kwa maana yeye alitaka siku moja aanzishe automated car wash kama hio hapo chini...
5 Reactions
23 Replies
3K Views
Kama kuna swali lolote waweza uliza nitakujibu ipasavyo.... Karibuni....
7 Reactions
35 Replies
32K Views
Kweli kila mwenye mafanikio ana siri yake. Wale wa ' niache ajira niingie kwenye biashara' mtayaweza haya ILe tamaa ya kumuona mbona fulani anauza kuliko mimi" hujui siri ya mafanikio yake...
11 Reactions
34 Replies
5K Views
Mi nataka kweny tasnia ya maafisa usafirishaji lkn nna changamoto kadhaa hivyo ningependa kupata USHAURI kutoka kwenu Kwanza kabisa mi ninajua kuendesha pikipiki lakini sina leseni. Sasa kuna...
1 Reactions
3 Replies
341 Views
Kama kichwa cha habari chajieleza hapo juu , Simu yangu aina ya Oppo A3s kioo kimepasuka. Kwa Mwanza Kinaweza Kupatikana ..?
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Ukifatilia watu wanaofanya vizuri online hapa Tanzania, utakubaliana na ukweli kwamba wanajua sana kuhusu sales and marketing. Biashara zote za online zinahitaji uwe na uwezo mzuri wa kutafuta...
2 Reactions
3 Replies
516 Views
Elon Musk said on Friday that his startup xAI has merged with X, his social network, in an all-stock transaction that values the artificial intelligence company at $80 billion and the social media...
0 Reactions
1 Replies
384 Views
Kukata au kupunguza matumizi katika maeneo kadhaa ni mkakati muhimu ambao utakusaidia kuwa na ziada ya pesa kwa ajili ya matumizi mengine muhimu ya kimaendeleo. Tunaangazia maeneo 10 ambayo...
22 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari za muda na wakati huu. Npo hapa kutafuta mdhamini/Wadhamini (Sponsor(s)) wa Safari ya Kupanda mlima Kilimanjaro. Atakayekuwa tayari kwa udhamini huo. Ntaitangaza Brand au Biashara ya kwa...
1 Reactions
7 Replies
523 Views
Ethan alikuwa na ndoto ya kuwa bosi wake mwenyewe. Baada ya miaka mingi kufanya kazi ya 9 hadi 5, hatimaye aliamua kuanzisha kampuni yake ya usanifu wa michoro. Mwanzoni, ilikuwa ya...
4 Reactions
2 Replies
433 Views
Hello wanjamii Kwa mtu yeyote ambaye anafaham sehem ambayo ipo sehem nzurii Kwa car wash hapa JIJINI DAR es salaam anifahamishe. Kuhusu vigezo Nataka iwe sehem ambayo ipo road inafikika kirahis...
6 Reactions
11 Replies
1K Views
Je unafahamu Mteja ambaye ameelekezwa na mtu mwingine ni rahisi kumfanya alipie bidhaa yako kuliko mteja anayekuona direct kwa mara ya kwanza? Tuangalie the power of Patnership Katika online...
1 Reactions
0 Replies
372 Views
dar zinapatikana wapi na bei ya ni shilingi ngapi?
0 Reactions
0 Replies
157 Views
Biashara ipi ni nzuri na rahisi kuisimamia kati ya hizi. Bajaji ya abiria, cash point (uwakala), tofari za block, au stationary. Mazingira ya biashara ni mwanza.
3 Reactions
11 Replies
762 Views
1.Ni biashara gani naweza kuifanya kwa kuanzia na mtaji wa mil5 na ikanipa matokeo mazuri 2.Biashara ya hardware inahitaji mtaj kiasi gani kuanzisha?
2 Reactions
7 Replies
717 Views
Habari, Karibu CITIZEN CARGO LTD Kampuni ya usafirishaji wa mizigo kutoka CHINA kuja TANZANIA Kwa Ndege (Express Air Cargo) Gharama zetu ni nafuu kama ifwatavyo; 1. From 1Kg - 10Kg: 12$/Kg...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Naomba mawasiliano nahitaji mzigo kutoka South Africa kuja Dar,nani anielekeze wapi nitapa huduma hii.
4 Reactions
10 Replies
798 Views
Nikope milion 6 nichuke bajaj used au nikope milion 10 nichukue bajaj mpya ila kabla sijaenda kuchukua mkopo. Nlikuwa naomba ushauri wenu nichukue bajaji used au mpya kupitia mkopo bank?
6 Reactions
40 Replies
2K Views
Why UNDP grants target young people only? The youth! Even wazee have brains and their innovations need to be supported by UNDP grants. With their work experiences they have come across many work...
0 Reactions
2 Replies
352 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…