Mifumo ya Zamani ya Mashimo ❌
Kataa mifumo ya zamani ya mashimo kwa sababu itakugharimu mara mbili; mara ya kwanza katika ujenzi na tena katika matumizi (uondoaji taka). Pia, inachukua nafasi...
Habari za wakati huu wana jf.
Naombeni msaada nataka kusafirisha asali nje ya nchi nipeleke Ulaya, je natakiwa kuanzia wapi kufuata taratibu ili nisisumbuliwe bandarini.
Najua jukwaa hili kuna...
Msaada tutani nilikuwa nauliza gharama ya kununua na upatikaji wa mitambo ya kuanziasha kiwanda cha kutengeneza pombe Kali jamii ya double kick, strong etc.
Kwa yoyote mwenye ABC karibu.
Ahsante
Habari zenu Wana jamvi?
Matumaini mko poa kabisa. Ndugu zangu naomba mwenye uzoefu na mkoa wa Iringa niko na mtaji wa sh. Mil 5 nataka kufanya biashara lakini Hadi muda huu sijui ni biashara...
Habari naomba, kuuliza wana JF kuhamishwa kwa wafanyabiashara sokoni ili ujenzi wa soko la kisasa. Lile eneo watakaoenda kugawiwa hao wanaohamishwa mtu anayetakiwa asimamie kugawiwa maeneo hayo ni...
FAIDA ZA MKOJO WA SUNGURA KWENYE
KILIMO
Sungura hufugwa kwa ajili ya kutupatia nyama
ambacho Ni kitoweo kizuri na muhimu Sana.
Hivyo wafugaji wengi Sana hujipatia kipato
kizuri kupitia ufugaji wa...
Habari WanaJF!
Nahitaji link, muhusika (supplier), mkulima au mwenye kufahamu ninapoweza kupata kwa wingi KARAFUU, UFUTA, DENGU na PILIPILI MANGA.
Nina mnunuzi tayari mkononi. Naomba msaada...
Habari mimi ni kijana mpambanaji naitwa Braison naitaji gari ya uber iwe ya mafuta au gas itapendeza na leseni kubwa naendesha hadi maroli ila kwa sasa nataka nifanye uber.
Kwa tajiri yoyote...
Habari wana jf tupeane machimbo ya mchele wa bei nzuri ya chini
Hapa mbeya mjini kuanzia 1200 kuendelea
Kwa ubaruku kuanzia 1300 kuendelea
Wewe hapo ulipo bei ikoje.
Kwa wale wenye uzoefu wa biashara ya viungo, naomba msaada kwenye mambo yafuatayo:
1) Bei ya kilo moja kwa kila kiungo huko mashambani.
2) Bei kwa kilo moja mpaka inafika Dar es salaam.
3)...
Mifumo ya Zamani ya Mashimo ❌
Kataa mifumo ya zamani ya mashimo kwa sababu itakugharimu mara mbili; mara ya kwanza katika ujenzi na tena katika matumizi (uondoaji taka). Pia, inachukua nafasi...
Old Pit Systems ❌
Reject old pit systems because they will cost you twice; once in construction and again in usage (emptying). They also take up a lot of space that you could otherwise use for...
Imarisha ulinzi wa nyumba ,ofisi au sehemu ya biashara kwa kufunga Cctv camera. Tunazo camera zenye ubora zinaonyesha picha angavu( HD) hata usiku. Pia unaweza kuangalia matukio yote kupitia...
Katika masomo ya uraia (civics), tunafundishwa kuhusu haki, wajibu, na nafasi ya kila mmoja wetu katika jamii. Lakini leo nataka tuuangalie upande wa pili, upande wa ndani yaani uraia wa nafsi...
Wadau nina mawazo haya ya biashara
1. Mini_Supermarket
2. Bucha la nyama ya ng'ombe au ya nguruwe
3. Duka la rasta la jumla
4. Duka la vipodozi japo hii nawaza kama kuiunganisha hapo kwenye...
Habari,
nimepita na kuona machine ndogo za kuchakata maji ya kunywa kwa uwezo 500L kwa saa zinauzwa hapa Tanzania, nimeona ni fursa kwangu kwakuwa nina source ya maji nyumbani na eneo naloweza...
Iko hivi;
Kuna dada fulani hivi tuliwahi kufahamiana huko nyuma, alinipigia simu na kunijulisha kwa kina kuwa kuna mchongo fulani hivi kashawishika kujiunga nao ni wa Q-net. Wenyewe unatakiwa mtu...