Una hatari ya kupoteza wateja wako kama hujasajili jina la biashara yako
Una hatari ya kupoteza wateja wako kama hujasajili jina la biashara yako.
Watu wengi wanafanya biashara nzuri, wana...
Nilikuwa najiuliza kwa muda mrefu kwanini hizi biashara za mtaani kwanini hazikui kwanini watu hawatajiriki nyingi zinakufa
Biashara hizi zilizopo mtaani
Maduka ya vitu vya rejareja
Maduka ya...
Hii biashara ni nzuri na inatoka lakini bila kua mjanja mjanja basi kutoboa ni ngumu sana, zaidi ya kupata hela ya kula tu kwasababu faida yake kwa kila kilo ni tsh 50-100...haiwezi kuzidi hapo...
SEKTA YA MADINI YACHANGIA ASILIMIA 10 YA PATO LA TAIFA
▪️Mchango wa sekta hii kwenye pato la Taifa umeendelea kuimarika na kukua kutoka asilimia 7.3 mwaka 2021, asilimia 9.1 mwaka 2023 na kufikia...
Salaam Wanajukwaa.
Kama heading ijielezavyo, katika kuendelea na harakati, leo Wanajf nimekuja tena kuomba muongozo wa biashara ya vyombo kwa mwenye kuijua hata kwa uchache wake
1.Je kwa uchache...
Wapendwa tupeane mchongo ndugu zangu.
Je ni soko gani kwa hapa Dar linaongoza kwa biashara ya maharage? Yaani kama naleta kutoka mkoani naweza kupeleka soko gani ambapo wanachukua bila usumbufu...
Nimesikiza hii, nikapigia mstari kichwa cha uzi.
Mbinu mbalimbali za jinsi watu wanavyotapeliwa kwenye Forex Trading toka kwa majirani zetu wa Kenya
Ruksa kutoa mapovu na kumwaga nyongo zote...
Habari ndugu zangu, nimekuwa nikifutiwa na kilimo pamoja na ufugaji kwa muda mrefu sana.
Nataka nianze na ufugaji kwanza natafuta mtu wa kuniuzia mbuzi 50 kwa bei nzuri, na kama bei itakuwa nzuri...
Habari wakuu,
Na hii ndio biashara yangu kukusogezea kitabu chenye biashara 99 za facebook. Nina ujuzi wakuendesha biashara mtandaoni hasa kwenye majukwaa kama Facebook na Instagram.
Hiki...
Hellow hope everyone is good. Leo nawaletea fursa ya kuwekeza dodoma. Hakuna uwekezaji mzuri kama wa ardhi maana kila siku inapanda thamani ukilinganisha na kuhifadhi fedha bank.
Dodoma ni mji...
Kwa mfanya biashara personality yako ni muhimu sana kabla hata ya bidhaa unayopeleka sokoni.
Hapa namaanisha ,muonekano wako, matumizi sahihi ya lugha za kibiashara, mahusiano mazuri na watu...
UZI MAALUM WA KUSHARE MAWAZO YA BIASHARA YA VIFAA VYA PIKIPIKI NA UREMBO.
Nipo mbeya, nna myezi minne toka nianze biashara ya VIFAA VYA PIKIPIKI nimekutana na challenges nyingi kias kua...
Habari ya jioni Wana JF, Nina connection na kampuni kubwa iliyo na ofisi zake hapa Dar es salaam pamoja na Dubai.
Wanahitaji supply kubwa ya dhahabu yaani kwa soko lao wanao uwezo wa kununua...
NINAVYOSAIDIA BRAND ZA AFYA KUPATA WAGONJWA WENGI NA MAUZO ZAIDI KUPITIA VICTORIA AGENCY.
Unajua changamoto kubwa ya biashara za afya?
Dawa nyingi za asili Herbal medicine zinasaidia sana watu...
Umeumiza kichwa kuanzisha biashara yako, si kwa lelemama, si kwa bahati nasibu, umekesha sana usiku kwasababu ya kufanya research, ulichunguza location, ukapima mzunguko wa wateja, ukapanga jinsi...
Hello JF guys!
Ni hivi:
Tuna zungukwa na Uganda, Rwanda, Malawi, Zambia na Msumbiji, Kenya na Congo
Kama mzoefu wa fursa za kiuchumi na upo hapa JF au ulisha wahi kuingia kwenye moja ya Nchi...
Me Huwa napenda kutafiti njia za utafutaji hata ziwe ndogo vipi, ili kujua watu wanapataje pesa na hizo biashara ambazo watu wanaziona ni duni
Nikasema haaa kumbe aisee watu wanapiga pesa ambazo...
Habari Ndugu zangu naombeni msaada hata ajira, iniweze kunisaidia kiuchumi niongezee kipato, Mimi KIJANA nimeajiliwa sehemu Ilaa mshahara Wangu ni Mdogo Sana na hautoki kwa wakati, inaniliazimwi...