Habari zenu wanajamii. Naomba msaada wenu nina kajieneo ambapo naanza kilimo cha mboga mboga na matunda,pembeni yake nimechimba shimo yenye ukubwa wa 8m kwa 8m kina 2m wazo lakwanza lilikuwa ni...
Wakati akijenga hoja ya kuteta usafirishaji wa gesi kuja Dsm, Rais alisema kwamba mkoa wa Dar unachangia 80% ya pato la Taifa. kwa hiyo, alimaanisha kwamba kama kila mkoa utang'ang'ania rasimali...
Aibu gani hii inayotokea katika nchi hii? Wawekezaji wanakuja kututapeli nyumbani kwetu kabisa? Hapo ndipo akili za watu zinapowaza na kushindwa kupata jibu. Ukifikiri kidogo tu utajua kwamba...
Heshima Zenu Wakuu!
Jana nilikuwa na Washkaji, tulikuwa tunazungumzia uagizaji wa bidhaa toka nje, Ila mjadala mrefu ukazuka kuhusu bandari salama na nafuu kupokelea mzigo wako kati ya ile ya Dar...
Wadau,
Kuna uwezekano mkubwa wa kupunguza umaskini wa kipato kwa wakazi wa mkoa wa pwani endapo watawezeshwa kupatiwa mpenyo wa kupata huduma za kifedha kwa ajili ya kununua pembejeo za kilimo na...
JUMATANO, JANUARI 09, 2013 06:49 NA ALPIUS MCHUCHA, RUVUMA
MKOA wa Ruvuma, umepata mafanikio makubwa katika sekta mbalimbali za kiuchumi na kijamii katika kipindi cha miaka saba, kuanzia mwaka...
DAR ES SALAAM (Reuters) - Tanzania's current account deficit widened 4.4 percent in the year to November due to a rise in imports of oil and machinery for gas and oil exploration activities, its...
Wakuu heshima kwenu, Naungana na nyie kusherekea mwaka mpya wa 2013, na kwa wajasirimali huu ni wakati au ni mwaka wa Vitendo zaidi, ni Bora sasa maneno yakaachwa pembeni, make kila kitu kisha...
kiwanda cha azam,kimeamua kuingia kwenye ushindani wa kibiashara na kampuni ya coca cola,kwa kutengeneza kinywaji kiitwacho AZAM COLA!ambacho kina ujazo wa 500mls.kinauzwa kwa tsh.500.sasa maeneo...
Nimetafuta mtandaoni takwimu za usomwaji wa magazeti nikiwa na nia ya kujua idadi ya magazeti ya kiingereza yanayouzwa/somwa. Kuna anayefahamu utafiti rasmi uliwahi kufanyika kujua gazeti gani...
About 35.3 per cent of television homes (14.0 million) in sub-Saharan Africa took digital signals by the end of last year, according to a new report from Digital TV Research launched on Tuesday...
Maafisa mikopo walio wengi wa benki ya NMB sio waaminifu ukiomba mkopo wanakutaka utoe rushwa kwanza.Wapo baadhi walishakamatwa na kufukuzwa kazi. Je kwa mwendo huu hii benki inaelekea wapi?
Wakuu;
Poleni kwa majukumu mbalimbali ya kuijenga nchi yetu.
Mimi ni mtanzania niliyeajiriwa, nimekuwa na mikakati ya kujiariri mwenyewe na hususan kujiingiza katika sekta ya kilimo. Tayari...
wanajamvi kuna ubaguzi wa wazi CRDB kwenye suala la kukodisha nyumba za watu binafsi kwa ajili ya kufungua matawi mapya hususani huku kanda ya ziwa. ndo mana baadhi ya wilaya huku wanatumia mobile...
Ndugu wana Board,kuna vitu vinanitatizi sana kuhusu Uchumi wa dunia ulivyo kwa sasa.
Kwanza kabisa fedha ya Taifa fulani kuwa super currency wanaangalia vitu gani mfano ilivyo US $,Pound ya...
Naomba kujua taratibu za kuanzisha biashara Raanda au Burundi. Kama kuna mtu anajua anisaidie. Na kama atakuwa kwenye skype, naomba anipatie skype ID yake tuweze kuongea. Natanguliza shukurani
Habari zenu wana wa nchi,mwenzenu nina kiduka kidogo nahitaji kuongeza mtaji,naomba msaada namna ya kukopa benk,dhamana iwe duka lenyewe.is it possible? How?