Wadau habari zenu
Kuna jambo moja linanitatiza wakuu nimeona nililete kwenu,mimi najihusisha na biashara ndogondogo,nimekua njia panda juu ya nini cha kukifanya mara nipatapo faida,ipi approach...
Jamani wakubwa poleni na majukumu nilikua naomba ushauri.
Nilikua nimefungua kampuni yangu na mpaka nimepata tin no.nataka kutafuta leseni ya biashara,na ninategemea kufanya kazi za kusupply...
VITA NI VITA!
Fastjet, the African airline backed by easyjet founder Sir Stelios Haji-Ioannou, faces having planes repossessed in a dispute over unpaid leasing bills in Tanzania.
Soma zaidi...
Natafuta gari ambayo inauwezo wa kubeba watu 7 au 6, na yenye uwezo wa safari ndefu katika barabara zetu za Tz. Nina mpango wa kutumia gari yenyewe kwa miezi mitatu tu na nimeshauriwa kuwa gari...
Nimekuta dirisha la CRDB na Benki ya Posta zikitoa huduma za M-Pesa. Swali langu ni kwamba benki zimekubali kwamba haziwezi kuwa na mbadala wa kuwaondoa M-Pesa kwa mkakati wa kibiashara mpaka...
Kama wewe ni msambazaji wa bidhaa za afya kama SUPPLEMENTS, MEDICATED SOAP, MEDICATED SHAMPOO AND CONDITIONER na unafikiri unaweza kufanya mkataba wa usambazaji na kampuni yetu, tafadhali...
Nadhani kwa sasa itakuwa inaongozwa na Bakhressa kisha Mkewe Mkapa then Mwaziri wa serikali hiii bila kumsahau Lowasa
Uchambuzi wa: Tanzania Tycoons List... - Page 6 - JamiiForums |The Home of...
Wakuu mimi na mdau mwenzangu wa mambo ya mifugo tuna wazo la biashara ambalo limeshafanyiwa yale yote yanayohitajika ikiwa ni pamoja na vibali kutoka taasisi husika. Kinachokwamisha utekelezaji ni...
heshima kwenu wakuu, kuna jamaa yangu anaishi maeneo ya Tabora ana dumu zaidi ya 20 za lita ishirini kila moja za asali na anatafuta soko.anataka azitume nimuuzie but...
house for sale at chanika with 4bedrom (unifished house)milion 13, house for sale at tabata self container milion120, house for sale at manyoni streat ilala milion 270, house for sale at bungoni...
Hisabati rahisi ya haraka ya kujumlisha na kutoa: Eti Vodacom wanakusanya shilingi ngapi kwa siku ktk shindano lao la MAHELA ambapo VODA watatoa ZAWADI za Tsh mil 400 tu hadi mwisho? Kila SMS ni...
nataka kuweka fedha katika fixed account, naomba kwa wenye uelewe mniambie ni bank gani hapa tanzania ambayo inatoa kiwango kikubwa cha riba kwenye fixed account. au kama kuna benk yenye akaunt...
WAZIRI wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe amekutana na wafanyakazi wa Mamlaka ya Reli Tanzania na Zambia (Tazara), Makao Makuu Dar es Salaam kueleza uamuzi uliofikiwa kuhusu kukithiri kwa...
Fahad Al-Attiya: A country with no water
Imagine a country with abundant power -- but no water. Fahad Al-Attiya talks about the unexpected ways the nation of Qatar creates a water...
Kenya and Tanzania's shillings are expected to be on the back foot next week amid importer demand for dollars, while Uganda's currency should remain stable ahead of the central bank's interest...
Tumefungua Music Studio ya Kisasa.
Kama una kipaji cha kutunga na kuimba nyimbo na unadhamira ya kufanya kazi nzuri sana basi unakaribishwa.
Interest yetu ni kutengeneza Muziki utakaopendwa na...