Ukipitia kwa hii link https://www.precisionairtz.com/index.php?id=15 utakuta destination za PW ila Mbeya haimo.
Kuna jamaa katoka nibishia as alitaka kwenda Katavi NP baada ya kuangalia iyo page...
Kuporomoka jengo lililopo Mtaa wa Indira Gandhi Jijini Dar es Salaam, huenda ikawa mwanzo tu wa kuporomoka majengo mengine zaidi hasa kufuatia matokeo ya tume iliyoundwa mwaka 2006 iliyobaini...
Kwa muda mrefu sasa Zanzibar imekuwa katika hali mbaya ya kiuchumi huku wanachi wake wakihangaika na kutapatapa katika kuokoa maisha yao kwahali yoyote ile.
Ukifuatilia historia, Zanzibar...
Habari za leo wananchi.
Nina wazo la ku-develop website ambayo inaweza kuwa ya msaada kwa wenye maduka ya biashara na watumiaji wa nyumbani. Kabla sijafanya hivyo, inabidi nifanye homework kidogo...
Wana JF, Habari za majukumu.
Kuna utafiti nafanya kuhusu Bank Charges. Sasa Nahitaji Tariff Guides za Banks Mbali mbali za TZ, So far nimeshapata za bank kama Tano hivi. Sasa Kwa Yeyote anayeweza...
Habari za mchana. Nilienda brela kuandikisha kampuni wakaniambia baada ya name clearance, nipeleke documents kama tano hivi na laki 3. Hiyo ni bei sahihi na idadi ya documents? Maana nimeona...
Ndugu wa JF, wafanyakazi serikalini na sector binafsi ukiachilia mbali wafanyabiashara watakuwa wanajua maumivu wanayoyapata kwenye makato ya mshahara (yaani PAY AS YOU EARN). Lakini hii sector...
Wadau ktk muda ambao sikutarajia nimepata mil 10 kutokana na mikopo kwa wafanyakazi niliopewa na benki yangu kama mfanyakazi - sikutegemea kabisa japo nilikuwa natafuta fedha hizi muda mrefu...
Wadau Salaam!
Ninataka kuanzisha biashara ya ksuindika na kuuza maziwa na hivyo ninataka business plan. Nani anaweza kuandika plan ambayo inaweza kushinda mkopo wa benki?
Wakuu niliwahi kuwaandikia Wizara ya Mifugo kuhusu muongoza wa Kuingiza Mifugo Nchini hasa Kuku kutoka Nchi Jirani, Sijajibiwa mpaka leo na Kesho, na hiyo ni wizara inayo tumia kodi zetu
so kama...
Ninawasalimu wanajamii forum wote mnaosoma na kujadili mambo muhimu sehemu hii
Nitangulie kuomba samahani huenda issue hii ilishajadiliwa humu lakini mimi kwa kiasi fulani bado ni mgeni,hivyo...
Wakuu heri ya Pasaka
Nataka kuagiza gari toka Japan aina ya Toyota Raum ambayo bei na shipping cost ni USD 3850 kama inavyoonekana
otal price CIF:
US$ 3,850
Vehicle FOB price:
US$ 2,500...
Tanzania Daily News (Dar es Salaam)BY ANNE ROBI, 29 MARCH 2013
AS part of the benefits of the historic visit by new Chinese President Xi Jinping to the country recently, China has decided to...
naombeni ujuzi wenu wana jamvi,jinsi gan naweza import digital camera,simu na tablet from india to Tz.Ningependa kujua ni kwanjia gani na Cost then jinsi gan naweza upokea ukifika Tz na kama kuna...
Socialism is dead in the water even Chinese people are changing! Let business meet not just politicians
Utilise opportunities arising from Sino-Tanzania ties - Nagu
President Kikwete...
MWANDISHI wa Kitabu cha 'False Starts in Africa,' Rene Dumont, ambacho tafsiri yake kwa lugha ya Kiswahili ni
'Afrika inakwenda kombo,
alielezea kuwa Afrika imeshindwa kutekeleza hatua zake...
Nakaribia kuhamia airtel kwa kweli maana nina bundle za voda za kutosha lakini nakosa huduma ya internet,mpesa pia hata huduma ya voice hapa kwetu ni mbaya yani wananchi wengi wa hapa wanalalamika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.