Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Hii inakuhusu sana, iwe unafanya biashara au unahitaji huduma binafsi za usafirishaji! TUAGIZE SISI – WATAALAMU WA MIZIGO NA USAFIRISHAJI WA KUAMINIKA Sisi ni kampuni ya Kitanzania yenye...
0 Reactions
0 Replies
539 Views
Mtego Huu Si Mwingine ni Huu Hapa Chini . Ni uwekezaji wa kitapeli (Ponzi schemes) . Ponzi scheme Nini utauliza?? . Well, Ponzi scheme ni mfumo wa kitapeli ambapo watu wanaahidiwa faida kubwa, ya...
0 Reactions
0 Replies
475 Views
#rent APARTMENT INAPANGISHWA IKO-DAR-ES-SALAAM Tz MAHALI- UNUNIO BEACH KODI TSHS ML 1,000,000/=KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 APART YA KISASA KUBWA YA KIFAMILIA ______ YENYE:- Vyumba vitatu...
1 Reactions
0 Replies
444 Views
Niombe kusema neno moja kwa sasa kuna vitu avizuhiliki kamwe, moja ya hivyo vitu visivyozuilika ni DIGITAL CURRENCY pesa ya mtandaoni Cryptocurrency, ndo habari Duniani aikwepeki, kuna Bitcoin...
4 Reactions
103 Replies
27K Views
Habari Ndugu Nina ndugu zangu waarabu wamepata tenda uko kwao ya kupeleka ndizi kwa maana ya export kwenda nje ya nchi za uarabuni na wamenieka mimi kuwa mtu kati yao niwasaidie na tunagawana...
3 Reactions
15 Replies
886 Views
Uzi huu ni special kwa ma-street kings & queens wanaotaka kuvuka level kutoka kubeba mizinga mtaani hadi kuwa ma-ceo wa biashara zao. Ukitaka kufanya biashara ya maana, ya ukweli, lazima ujue...
7 Reactions
7 Replies
2K Views
Jinsi ya kukuza biashara yako kwa kupata wateja wengi kupitia Meta Ads (Facebook & Instagram) 1. Kwanza Inabidi uelewe Biashara yoyote duniani ina kanuni moja Sales = Attention + Trust + Offer...
1 Reactions
0 Replies
930 Views
Bila shaka familia ya JF, wote mko salama. Nisiwachoshe, naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Mimi ni miongoni mwa wale wa "pangu pakavu," lakini namshukuru Mungu kwa kunijalia uhai na afya...
6 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu habarini za wakati, Mmi ni graduate katika fani ya uhasibu na tehama, na experience katika kazi za freelancing na marketing nimefanya freelancer azam pesa, pia mambo ya loan officer...
2 Reactions
9 Replies
636 Views
Habari ya uzima wanajanvi? Imani yangu nyote wazima wa afya na akili kwakuwa yupo alietuwezesha kupata nafasi hii mpaka sasa? Tusichoshane sanaaa Nina wazo la biashara ambalo linahusu usambazaji...
20 Reactions
102 Replies
9K Views
Nilikuwa naomba ushauri wenu kwenye hiyo laki 9 nichukue pikipiki used ya laki 5 niifanye kama boda ya kuniingizia kipato alafu pia niwe naitumia kwenda kuuza dagaa sehemu mbali mali hasa hasa...
5 Reactions
30 Replies
2K Views
BIASHARA YA CRISP ZA TANGAWAIZI Hii biashara ya clips za mchanganyiko wa Tangawizi mdalasin karafuu na asali Ni moja kati ya fulsa iliyojificha Mimi bunafsi kuna mzee huwa ananiuzia hizo clips...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wakuu wa JF nyote. Nipe mbele yenu nahitaji ushauri, mawazo na hata connection juu ya masuala ya online business. Mimi ni kijana na nilipo nina access ya internet (kuanzia saa tatu asubuh...
1 Reactions
10 Replies
733 Views
Habari ya leo wanajamii forum ?natumaini tunaendelea kupambana na kuendesha gurudumu liende mbele. Waswahili wanasema ili usianguke na baiskeli hauna budi kukanyaga pedeli ili isonge mbele na...
8 Reactions
32 Replies
3K Views
Jinsi nilivyobadirisha elfu 20 kuwa TSH 500,000 kwa kutumia tangazo moja tu la Facebook & Instagram Jinsi nilivyobadirisha elfu 20 kuwa TSH 500,000 kwa kutumia tangazo moja tu la Facebook &...
2 Reactions
2 Replies
740 Views
Nauza hizi mashine moja ni kwa ajili ya upepo na nyingine, kwa mwenye kuhitaji hizi anaweza fika kimara stop over kuja kujionea Bei 4.5 kwa mashine la upepo na mazungumzo yapo 0715378899
0 Reactions
1 Replies
421 Views
Habari za wakati huu ndugu zangu Wa JF Natumaini nyote ni wazima naomba kuuliza hii kitu 👇 Huwa inapatikana sehemu Gani!? Na Huwa inaenda kwa bei gani!? Mawazo yenu ni muhimu
2 Reactions
15 Replies
977 Views
Imeandaliwa na Smart Finance SW Watu wengi huogopa kufanya maamuzi ya kifedha kwa sababu wana hofu ya "kufanya makosa." Lakini ukweli ni huu: hakuna uamuzi mbaya katika fedha, kama umejifunza...
5 Reactions
6 Replies
586 Views
Ilikuwa Mwaka 2015 Baada ya kumaliza chuo (Shahada ya jiologia), Nilianza kufanya kazi katika kampuni (Maabara) mbalimbali za upimaji wa sampuli za mawe, udongo na aina nyinginezo nikiwa kama...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…