Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Kama inavyotajwa hapo juu, ninahitaji frem ya biashara mabibo sokoni kwa ajili ya biashara ya nafaka, hata nje ya sokoni pembeni mwa barabara fresh. Kama unayo njoo na ofa yako inbox. Salaam
0 Reactions
0 Replies
300 Views
Habari mwanaJF, Natumaini kuwa unaendelea vizuri. Hatujaonana siku nyingi. Nilikuwa nafanya "reset". Na Mungu amekuwa mwaminifu. "Ameninyeshea mvua" za baraka katika maisha yangu. Sikuwa na kitu...
10 Reactions
22 Replies
2K Views
Tunamsaidiaje huyu mfanyabiashara? Ni tweet kutoka kwa Vanessa Temba inayozungumzia ugumu wa maisha ya ujasiriamali/biashara. Anaeleza kwa njia ya uhalisia na hisia kuwa: ->Unaamka asubuhi hujui...
1 Reactions
0 Replies
403 Views
Habari gani👋🏾 Je kuna mtu yoyote ambae ana experience ya kuendesha Play station?🎮 Je unazijua changamoto? Je zinatatuliwaje? Zipi mbinu za kuvuta watu zaidi? Games zipi ni pendwa zaidi...
0 Reactions
3 Replies
513 Views
Habarini za wakati huu ndugu zangu wapendwa wa Jf. Ni hivi, Kuna maeneo ya familia yameuzwa mahali na kila mwanafamilia amepata gawio la Mil.45. Na kwa kuwa nilikuwa na akiba ya kama Mil.5 benki...
16 Reactions
99 Replies
5K Views
Kama unategemea tu kupost status au content bila kulipia matangazo, basi upo kwenye hatari kubwa. Organic reach ya leo ni ndogo sana! Unahitaji nguvu ya PAID ADS kama unataka kufikia watu wengi...
1 Reactions
2 Replies
440 Views
Habari ya jumapili wakuu. Naomba msaada wa maelekezo toka kwa mtu aliyewahi kusajili mradi chini ya Tanzania Investment Centre (TIC). Ninahitaji kujifunza jambo kwa uhalisia wake hasa katika...
0 Reactions
6 Replies
752 Views
Unateseka kimya kimya? SULUHISHO LIPO! Adro T – Kirutubisho cha Asili kwa Afya ya Uzazi na Ndoa Yenye Furaha! Kwa wanaume: Nguvu kurudi Mbegu kuongezeka Kurudia tendo si hadithi tena! Tezi dume...
0 Reactions
3 Replies
442 Views
Habari wakuu, Husika na kichwa Cha habari, Tumekuwa tukifanya usambazaji wa bidhaa za dukani(pipi,tomato,n.k) kwa kutumia mfumo wa store, Yani unaingiza mzigo store Kisha unapita maduka ya jumla...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
1. Usikope Fedha Kabla Hujajua Kiasi Cha Riba Unayopaswa Kulipa. Soma Vizuri Ujue Riba ni Kiasi Gani Na Uone Kama Unaweza Kuilipa au Huwezi, Watu wengi likija suala la kukopa huwa wanakuwa na...
5 Reactions
6 Replies
1K Views
Nataka kwenda Jamaica wadau kama kuna anayejua naweza kununua biashara gani huko itakayorudisha angalau nusu ya gharama za safari yangu anisaidie .
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Kwenye Thread hii nimekuandikia aina za Kodi unazotakiwa kulipa kama Mfanyabiashara nchini Tanzania. 1. Kodi ya mapato Hapa Kuna Kodi aina mbili (Income Tax au Corporate Tax) Hutegemea na aina ya...
3 Reactions
5 Replies
906 Views
Wizara ya Viwanda na Biashara imeendelea kuchukua hatua mbalimbali za kuhakikisha bidhaa zinazozalishwa nchini zinapata masoko ya kikanda na kimataifa. Hayo yameelezwa leo Mei 14,2025 bungeni...
3 Reactions
5 Replies
556 Views
Nisipoteze muda naomba niingie ndani ya lengo . Ndugu zangu nina mpango wa kumfungulia shemeji yangu wakike biashara ili na yeye awe anajipatia mahitaji yake madogo madogo kuliko kuwa anashindia...
3 Reactions
7 Replies
986 Views
Leo ngoja nikuibie Siri ya compounding effects kwenye Mambo ya Tax. Leo ni tarehe 8 may 2025, hii Ina maanisha Bado siku 53 tuu tufike tarehe 30/6/25. Hii ni siku muhimu sana kwa corporate...
9 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari. Hii ni biashara nzuri sana hasi ukiwa na mtaji. Mtaji wake unapaswa uwe na pesa ya kununua kuanzia heka 1. Mfano ukinunua heka 1 kwa shilingi million 22, eneo hilo(Kibaha) viwanja...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Mwaka 2017 nilipeana rasmi mkono wa kwaheri na mwajiri wangu Simba Technology ,Posta Dar es slaam. Maagano ya ya kirafiki na bashasha kila mmoja akimtakia mwenziye kila la kheri.Hapo nilikuwa...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Punguza sifuri moja kwenye noti za Tanzanian kuna athari kadhaa za kifedha na kiuchumi, ambazo ni pamoja na: 1. Kuhifadhi Thamani na Usahihi wa Bei: Kupunguza sifuri moja kwenye noti kunaweza...
0 Reactions
0 Replies
394 Views
Nimeshangaa sana watu wanakula faida 25% kwa mwaka tofauti na hapa bongo kubwa ni 15% huku wengi wakiishia 12% Kulikoni wadau,
8 Reactions
85 Replies
4K Views
kwa yule mwenye uhitaji wa frem ya biashara ipo nyingine hapa mwanza mjini kati.. KUBWA KUBWA na iko barabaran ** iko prime area ** main road ( barabara kuu) ** mjini kati biashara iliyopo...
7 Reactions
31 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…