Naomba kujuzwa jaman,nimenunua gari namibia milion kama 7 za kitanzania sasa nataka kujua ntakapokua naliingiza nchini kwangu ntalazimika kulilipia? Ama utaratibu ukoje? Ni gari aina ya benz ya...
Wakuu Heshima mbele.
Hivi karibuni nimehamishia makazi Rufiji na kujipatia shamba maeneo ya utete. Je kuna mwanaJF hapa ambae ameshakuwa na experience ya ulimaji huko? ambaye tunaweza share...
Wapendwa wana JE SACCOS,
Naendelea na mchakato wa kulipa fedha za michango ya wana JE SACCOS. Tafadhali kama wewe ni mmoja wao uliyetoa michango kupitia kwangu tafadhali naomba jitokeze niweze...
Wakuu nimekwama baadhi ya mambo fulani hivi,sasa natafuta mkopo wa shillings 15,000,000 million na ntarudisha shillings 18,000,000 ndani ya miezi sita tuu.
Dhamana ni nyumba iko Morogoro...
Habari zenu ndugu,
Jana nikiwa naangalia CNN, I saw an advert of Kenya (kuna sehemu wanaonyesha Mt. Kili); na nakumbuka kuona matangazo za nchi tofauti katika mega media channels of the world...
Habari toka Kariakoo zikitujuza Uvamizi wa gafla uliofanywa kwa kushirikisha Polisi na Raia wa Kizungu waliopita kwenye maduka na kuchukua simu zote za aina ya Samsung za kichina...
Bank yenu ya gari mobile 10 inayofanya kazi mkoa wa Tabora wilaya ya Sikonge na Ulambo tunaibiwa pesa zetu kila leo na hatuzipati na hamna maelezo
Jana jamaa yangu kadroo laki2 ila hazikutoka...
naamini wachumi na wahasibu mtanishauri maana ndo mna ujuzi.mi nimemalza form 6 ECA na
kugpata econ c,acount c ,comm
d,bam s.mi napenda sana kuwa
economist pia accountant,lakn
inabidi nchague...
Wandugu habari za asubuhi
Mimi ni mfanya biashara nko mkoani nafanya biashara ya viatu nauza kwa jumla na rejareja nilitaka nipanue bishara yabgu iwe ya jula tu kwa ss nilifikilia kwenda china...
wakuu naomben mnisaidie chuo gani wanatoa course fupi za biashara km vile sales, marketing system , how to raise capital......... nahitaj kujua zinagharim sh ngap kwa course ya mwezi mmoja mpk...
Hi JF Members! Naomba mwongozo wa namna ya kuanzisha na kusajili Gazeti ikiwa ni pamoja na gharama zake. Tayari nina business idea na napenda kufahamu utaratibu unaotumika hapa Tz. Nawasilisha
Jamani nipo eneo la Maji ya Chumvi Ubungo. Ni wapi? Ni jeshini Ubungo Kibangu. Hakuna Umeme siku nzima hapa, wakati maeneo mengine yote ya Ubungo yamekuwa na umeme leo hata kama kwa kuzimika na...
niko hapa mtwara toka saa mbili na nusu bado hatujaambiwa kuhusu delay ya ndege ya kuelekea dar es salaam,wala nini,mpaka sasa saa nne tupo tuu tunashangaa..! unreliable. mumeniaribia siku duh
Habari za mahangako ya maisha watanzania wenzangu...siku zote najiuliza sipat jibu kwanini wananchi wengi wakitazania ni masikin?.wakati kuna rasimal nyingi sana ktk nchi ye2 kwa mf...
Wadau nina madini aina ya chuma na tayari yamepitia maabara kwa uthibitisho wa viwango vya iron katika iron ore ambapo imethitika kuwa ipo zaidi ya asilimia 72 kwenye iron ore chenga;tafadhali...
kama nilivyo eleza apo juu nataka kujua mtaji wa kufuga fish kwenye mabwawa na zinakaa mda gani kabla kuanza kuuza kukamata mshiko na njinsi ya kuwa fuga ata ndondo za maisha yao
Vodacom Group Ltd. has agreed to sell 1,149 phone towers in Tanzania to an infrastructure company backed by investors including George Soros.
The wireless carrier, South Africas largest, will...