Bank yenu ya gari mobile 10 inayofanya kazi mkoa wa Tabora wilaya ya Sikonge na Ulambo tunaibiwa pesa zetu kila leo na hatuzipati na hamna maelezo
Jana jamaa yangu kadroo laki2 ila hazikutoka...
naamini wachumi na wahasibu mtanishauri maana ndo mna ujuzi.mi nimemalza form 6 ECA na
kugpata econ c,acount c ,comm
d,bam s.mi napenda sana kuwa
economist pia accountant,lakn
inabidi nchague...
Wandugu habari za asubuhi
Mimi ni mfanya biashara nko mkoani nafanya biashara ya viatu nauza kwa jumla na rejareja nilitaka nipanue bishara yabgu iwe ya jula tu kwa ss nilifikilia kwenda china...
wakuu naomben mnisaidie chuo gani wanatoa course fupi za biashara km vile sales, marketing system , how to raise capital......... nahitaj kujua zinagharim sh ngap kwa course ya mwezi mmoja mpk...
Hi JF Members! Naomba mwongozo wa namna ya kuanzisha na kusajili Gazeti ikiwa ni pamoja na gharama zake. Tayari nina business idea na napenda kufahamu utaratibu unaotumika hapa Tz. Nawasilisha
Jamani nipo eneo la Maji ya Chumvi Ubungo. Ni wapi? Ni jeshini Ubungo Kibangu. Hakuna Umeme siku nzima hapa, wakati maeneo mengine yote ya Ubungo yamekuwa na umeme leo hata kama kwa kuzimika na...
niko hapa mtwara toka saa mbili na nusu bado hatujaambiwa kuhusu delay ya ndege ya kuelekea dar es salaam,wala nini,mpaka sasa saa nne tupo tuu tunashangaa..! unreliable. mumeniaribia siku duh
Habari za mahangako ya maisha watanzania wenzangu...siku zote najiuliza sipat jibu kwanini wananchi wengi wakitazania ni masikin?.wakati kuna rasimal nyingi sana ktk nchi ye2 kwa mf...
Wadau nina madini aina ya chuma na tayari yamepitia maabara kwa uthibitisho wa viwango vya iron katika iron ore ambapo imethitika kuwa ipo zaidi ya asilimia 72 kwenye iron ore chenga;tafadhali...
kama nilivyo eleza apo juu nataka kujua mtaji wa kufuga fish kwenye mabwawa na zinakaa mda gani kabla kuanza kuuza kukamata mshiko na njinsi ya kuwa fuga ata ndondo za maisha yao
Vodacom Group Ltd. has agreed to sell 1,149 phone towers in Tanzania to an infrastructure company backed by investors including George Soros.
The wireless carrier, South Africas largest, will...
Habari zenu wadau, nilikua nauliza km kuna mtu humu ndani anafahamu upatikanaji wa machine za kusaga na kukobolea nafaka, tafadhali naomba anijuze..
Alafu Kama wewe ni [Mbongo]
Mtanzania na...
jAMANI WAPENDWA kama mnavyojuwa tena maji yashingi yamenifika shingoni kama mwezi hivi niliwewka topic juu ya MASS MEDIA ndugu zangu lengo langu ni moja kucreate opportunities kwa kila mtu -ajira...
Na hii ya mwaka 2000 nitaipata kwa bei gani? kwenye internet inaonesha bei yake ni $14,000
Naweza pata gari hii kwa bei gani hapa bongo?? ya mwaka 1998, kwenye mtandao inaonesha $ 7000
Nafikiria kuanzisha Music recording Studio, wataalamu nisaidieni nahitaji kuwa na vitu/equipments gani kufanikisha hili? Na naweza vipata wapi Dar es salaam hii?
Hidden tax which has not been debated widely has emerged. 0.15 % excise duty on TISS through inter bank transfer. It means to you have to pay tax to pay to your supplier, not heard of it from...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.