habar wakuu,naomba kuuliza jinsi ya kushiriki lile shindano lililoasisiwa na ndg Mengi kuhusu jinsi ya kutatua tatizo la ajira Tz,au kutengeneza mamilionea kama wanavodai,nielekezen wakuu na mimi...
Habari. Kutokana na High pressure regulators za mitungi ya gesi kuwa ghali sana kwa sasa, je inawezekana badala ya kuweka high pressure regulator nikafunga na mpira?
Kuna mzee aliniomba ushauri nimsaidie kununua hiace kupitia internet, ikapatikana kwa CIF 7310 USD. Nikamuangalizia kodi kupitia TRA calculator ambayo ilionyesha kuwa atatakiwa kulipa kodi ya TSHs...
Wadau hodi kwenye jukwaa..baada ya kutembelea jamiiforum kama guest kwa miaka miwili mfululizo,hatimae jana 15/09/2013 niliamua kujiunga rasmi na mtandao huu,ambao umejaa vichwa vyenye mawazo...
Please wadau naomba msaada wenu.
Nimekuwa natumia office 2010 ila leo imeroga hivyo naamua kuiondoa na kuiweka tena ila nimekosa key.
Please nisaidieni ndugu zangu maana documents zangu...
Ukiacha IPP MEDIA..
Niko curious kujua makampuni ya IPP ni yapi?
sababu naona karibu yote yamefilisika
au kuna mengine ambayo bado yana operate?
anyone with answers?
Nimeshangazwa sana na picha iliyopo katika gazeti la Mwananchi la ukurasa wa mbele yenye caption ifuatayo nanukuu "Mfanyakazi wa Ubungo Bonica (Botanical) Garden akiondoa Maji katika shimo la...
SALAAM
Tuna uwezo wa ku supply Extra Neutral Alcohol (ENA) zenye standard ya hali ya juu sana kutoka Asia kwa ajili ya kutumikakuzalisha bidhaa kama alcohol na bidhaa zingine za kwenye...
Ni hivi majuzi tu nilileta hapa jamvini mada ya kujadili kuhusu uhalali na busara ya serikali yetu tukufu kuipatia mabilioni ya bail-out kampuni ya usafiri wa anga ya Precision Air...
Nasikia ukifanikiwa kupata mgao wa miti mita za ujazo mia nne tu Shamba la Miti Sao Hill, unaweza kuuza mgao huo mpaka Tsh 15,000,000 kwa wafanyabiashara waliokosa migao. Kama wanaweza kununua kwa...
Jana katika kindi cha jahazi niliwasikia Kibonde and company wakizungumzia suala la NIC kuuza baadhi ya majengo yake ili kulipa madeni sugu ya kampuni hiyo. Hiyo habari ilikuwa kwenye gazeti la...
Kuna sqm 80000 (20 heka),maeneo ya Kiguza,kijiji cha Oyoyo.Linafaa kwa shule,chuo na kiwanda.Lipo barabarani (Mkuranga-Kisarawe Road),umeme tayari umefika kijijini.Lipo jirani na shamba la MAMA...
Nilikuwa na mawazo ya kuanzisha biashara yangu niache mambo ya kutegemea mishahara manyanyaso....nimewaza mambo manne
1. Kufungua frame ya kuuza vinywaji vya jumla- mwenye uzoefu na hili naomba...
Salama wana jamvi...Kwa walio Dar zaidi watajkua wamesikia juu ya maonesho ya biashara ya watu wa China. Binafsi nimepata muda nikapita kuangalia angalia, kweli kuna vitu vingi sana vizuri kwa...
Habari zenu wana jamvi hasa wajasiriamali wenzangu. Mimi nafanya biashara ya vipodozi pamoja na saloon ya kike lakini kadiri siku zinavyoenda sioni maendeleo na duka lipo sehemu nzuri ya biashara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.