Kwa mtaji huu mradi wa Mradi wa mabasi yaendayo kasi jijini ni hadithi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa mtaji huu mradi wa Mradi wa mabasi yaendayo kasi jijini ni hadithi!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Tusker Bariiiidi, May 3, 2010.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #1
  May 3, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Nimeshangazwa sana na picha iliyopo katika gazeti la Mwananchi la ukurasa wa mbele yenye caption ifuatayo nanukuu "Mfanyakazi wa Ubungo Bonica (Botanical) Garden akiondoa Maji katika shimo la kupanda mti kwenye barabara ya Sam Nujoma jijini Dar es Salaam,ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mkutano wa kiuchumi wa Dunia kuhusu Bara la Afrika (World Economic Forum on Afica-WEF) unaoanza keshokutwa". Picha na Salhim Shao.
  Picha hiyo inaonyesha ile sehemu iliyotengwa kwa ajili ya ule mradi maarufu kama wa magari yaendao kasi ikipandwa miti tena ya gharama maarufu kama Royal Palm ambayo gharama ya mti huo kutokana na ukubwa wake inaweza kuwa Laki 9 mpaka Millioni 1 kwa mti na jinsi ilivyo karibu karibu itakuwa imegharimu mamilioni ya pesa za mlipa kodi,sasa pamoja na gharama za kuipanda na kuitunza mpaka ikubali ni dhahiri siyo ya kukatwa leo wala kesho,sasa je ule mpango wa DART (Dare es Salaam Rapid Transport) unakuwa ndio hadithi wadau mwalionaje?:angry:
   
 2. MduduWashawasha

  MduduWashawasha JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2010
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 1,568
  Likes Received: 407
  Trophy Points: 180
  watu washatengeneza ulaji
   
 3. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #3
  Sep 15, 2013
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Mkuu Tusker Bariiiidi, thread yako hii umeitelekeza siku nyingi hebu tupia mawili matatu tuendeleze mjadala.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...