Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

wakuu humu jamvini naomba mnisaidie. mimi nipo Tanga na nataka ninunue bidhaa ebay. je nitaletewa kwa njia ya posta katika adress ninayoandika ya hapa tanga au mpaka dar? na je nitajuaje kama...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Tunauza samaki wazuri sn toka kanda ya ziwa,sato na sangara.Tunauza jumla na rejareja na bei zetu ni nzuri sana.Tupo kimara mwisho tunatazamana na stand ya magari ya kwenda mjini.Kuanzia kg 10...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
hii ni used sema ipo poa na ina kila kita kuanzia caji,earphone,usb cable nicheki kwa namba 0716928197 ni nyeusi
0 Reactions
0 Replies
685 Views
Wanasema siku zote katika biashara na ujasiriamali wanaofanikiwa ni wale wanaoweza kuyaona mabadiliko na kuweza kuchukua hatua za kubadilika kufuatana na hayo mabadiliko. Mfano mzuri ni kampuni ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
hivi ni sahihi afande kova kutumia cheo chake kufanya tangazo la mpesa linaroruka radioni?
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Cyanide inayotumika katika uchimbaji madini inauzwa sh ngapi?
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Get your free fax number linked to your e-mail address now Missing faxes, busy fax lines, no confidentiality and malfunctioning fax machines… Does this sound familiar? Yes…Then try our...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hello JF Experts! Naomba kujua aina za document za kimahesabu ambazo mfanyabiashara anatakiwa kuziandaa kwa ajili ya kuwakilisha TRA wakati wa kuendesha biashara zake? Nashukuru kwa kuwa mtanipa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Germany has extended a grant of 176 million Euros (about 380bn/-) to Tanzania. The funds will cover three years and are the largest amount Germany has ever committed to support Tanzania in its...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
To potential businessmen I am looking for a business partner who will contribute for a Working capital on a very attractive agro-processing business located in Dar, everything in in place...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Kampuni inataka kuuza mali mbalimbali zikiwemo nyumba, samani, mitambo, magari, mashamba, etc. Ili kuuza inahitaji kupata Kampuni ya udalali yenye uzoefu katika shughuli hizi iliyopo jijini Dar es...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana jamvi binafsi kwanza nawakubali sana watu wa clouds media,jamaa wanajitahidi sana kwa ubunifu. Sasa tunajua ni msimu wa tamasha kubwa la fiesta 2013 unaendelea,napenda idea yao ya kabla...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Miongoni mwetu wapo watu wenye mawazo mazuri ya biashara katika kutumia fursa mbali mbali zilizopo ili kukabiliana na changamoto mbalimbali. Africa innovation foundation wao wanatoa zawadi kwa...
0 Reactions
1 Replies
951 Views
habari zenu, naomba mnisaidie kwa gari hii ambayo wamenitumia details zake CIF ni dola 4170. details zake ni hizi hapa Ref No: 19549A7N4 Year: Jun, 2005 Make: TOYOTA Name: VITZ Engine...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
waungwana naombeni kujua ghalama za utoaji wa magari kwenye bandari ya daresalam.mfano noah inayouzwa $800 inagalimu shilingi ngapi mpaka niwe nayo nyumbani.natanguliza shukrani kwenu nyote
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa anayefahamu kuhusu gharama za kununua kifaranga wa kuku wa kisasa ktka jiji la dar na aina za madawa ambazo ni muhimu kwa ukuaji wa vifaranga hao na makadilio ya gharama ya madawa hayo please...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
VIWANJA VINAPATIKANA KIGAMBONI ENEO LA AMANI GOMVU VYA SQUARE METER 1000,800,600 AT 10000/= @SQUARE METRE. FOR ONE WHO IS INTERESTED JUST CALL 0717 038 035 Private Town planner
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu wanajamvi, hii ni mara ya pili kunitokea. Juzi nimeingiza vocha ya line ya Tigo ya Tsh 1000, nikajiunga na huduma ya EXTREME kwa kutuma ujumbe wenye neno EXTREME kwenda namba 15509. Huduma...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF. Natafuta msaada wa soko la Asali kwa soko la ndani vilevile soko la nje, Asali ni nyingi na ya kutosha kutoka Singida,Mkuranga na Ushirombo. Kwa yeyote mwenye kumjua Mnunuzi wa Asali...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Ugandan newspaper commended Tanzania to learn being good neighbor, here we start. I went through your project which you called "grand" and found that you have a lot to learn from Tanzania...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom