Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Msaada Mkopo ASAP: Wakuu nimekwama jamani naomba Msaada wenu. Nadaiwa kiasi cha tzs 550,000/= ili Niweze kumalizia digrii yangu, kwa sasa niko mwaka wa 3 (mwisho) na graduation ni mwezi ujao...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Government focuses on boosting SMEs
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Kama ulipitwa na hili tukio basi unaweza kuangalia picha kwa kubonyeza hapa
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Hivi majuzi nilipita pale Namanga na kushudia ujenzi wa OSBP. Je ni nini faida ya OSBP? Je OSBP itapunguza rushwa na ufisadi unaofanyika mipakani? Soma hapa Theme pages | IRF gTKP - global...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Haya yalio tokea kenya yawe fundisho kwetu Tz kwani hao wasomali wao ndio walio wakaribisha.Sasa kwa upande wa Tz vikundi hivi vipo ila vinaonekana bado malengo yao yanatatofautiana.wanaomwagia...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Kwa wale wote wanaofuatilia mambo ya uongozi/usimamizi wa bandari zenye ufanisi na usafiri wa reli habari hii inawahusu! Bolloré Africa Logistics, a leading operator of Public-Private...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kuajali ni moja ya vitu muhimu katika maisha ya mwanadamu wa kawaida,kutokana na hilo tumeamua kukujali tena wewe unaehitaji kufanyiwa dizaini za aina mbalimbali kwa nyanja ya Graphic, tumetoa ofa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Eneo lina sqm 72000 (ekari 18),lipo katika kijiji cha Oyoyo,kandokando ya barabara ya Mkuranga-kisarawe.Shamba lipo jirani na shamba la Mama Salma Kikwete na linafaa kwa kiwanda,shule,yadi,kilimo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za kwenu Nina start up biashara, natafuta mtaji wa kuongezea wa 3 up to 5 mill au vifaa (machine za biashara) kutoka kwa taasisi au mtu yeyote ambaye anatoa mkopo kwa biashara zinazoanza...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habarini wana jamvi kwa anayejua ni benki ipi inayotoa mkopo kwa riba nafuu. Kwa anayefahamu please mnisaidie mi nimuajiriwa gvt
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Ndugu wadau wa Biashara ya Utalii, napenda kuchukua fursa hii kuweka bayana changamoto ya ki-biashara isiyo na ushindani wa haki inayotukabili katika biashara ya utalii hapa nchini kwetu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau naomba kwa anayejua Swift Code ya Stambic Bank,aiweke hapa tafadhali,natanguliza shukurani kuna maoja nimeona kwa mtandao sina hakika kama ndio inayotumika hadi sasa au la kwani kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
I am looking for information to start a gold mining company eg 1. Cost of company registration and its requirements. 2.Cost of mining claims 3.Cost of environmental impact assessment...
0 Reactions
2 Replies
897 Views
For serious and registered architecture with style and touch and should have office in Tanzania, email me your contact urgently , I need a one floor affordable villa design with four bedroom , one...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Ukitaka kuanzisha gazeti nchini ni zipi taratibu zinazohitajika? 1.Gharama za uanzishaji kwa makadirio 2.Pia mtaji angalau inahitajika kiasi gani 3.je inawekana kuwa na gazeti linalotumia...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
GAIL India, on the other hand, is also keen on acquiring a stake in upstream assets in Tanzania, and is weighing merger and acquisition (M&A) opportunities in the country. ONGC Videsh Limited...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nachora ramani za majengo ya aina mbalimbali ikiwemo nyumba napatikana akiba dsm kwa mawasiliano 0714 155854
0 Reactions
0 Replies
3K Views
KUMBE ABIRIA TUKIAMUA TUNAWEZA! Nimefurahishwa leo mitaa ya Moshi KCMC ni baada ya konda m1 wa daladala kushndwa kupokea Tshs. 200 kutoka kwa Abiria mmoja mwanafunzi kisa ni J2 anadai alipe...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
By PHILIP MWAKIO | The Standard | September 23, 2013 Uganda has invited its four East African Community ( EAC) partner states to buy stakes in the proposed Uganda oil refinery. A 40 per cent...
0 Reactions
2 Replies
934 Views
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati (EWURA), imepiga marufuku matumizi ya chupa za plastiki (vidumu) kuhifadhi au kubebea mafuta jamii ya petroli, kwa kuwa zina uwezo mkubwa wa...
0 Reactions
47 Replies
7K Views
Back
Top Bottom