Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Nataka kununua photocopy machine ambayo itadumu na haitanipa shida sijawahi kutumia na sijui nzuri ni ipi ila ninahitaji medium size maana sina hela ya zile kubwa ninazoziona kwenye biashara za...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
kwa muda mrefu nimekuwa na shauku ya kufanya biashara, hapa nilipo nina mtaji wa milioni moja. kila nikifikiria biashara gani nifanye nashindwa. naombeni ushauri kwa pesa hii nifanye biashara gani...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kiwanda kipya cha cement jaman chapa RHINO kimefunguliwa huku mkuranga kijij cha kisemvule,,kinazalisha cement bora yenye viwango vya kimataifa.ila bado maeneo yanyozunguka kiwanda...
0 Reactions
42 Replies
12K Views
Naomba msaada wa kuelewa sheria ya nchi inasemaje kuhusu utaratibu wa kuhamisha hisa za kampuni "incorporate under the companies ordinance (Cap. 212). Kampuni ni Ltd.Naomba msiniambie ulizia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kampuni ya Mabasi ya SUMRY iliyotamba miaka ya hivi karibuni baada ya Mheshimiwa kuteuliwa kuwa Kiranja Mkuu sasa yapo hoi baada ya KIRANJA MKUU kutoa hisa zake huko sasa kampuni inapumulia...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Lake Natron is the only breeding ground in East Africa for 2.5 million Lesser Flamingo. The lake is a safe breeding location because its caustic environment is a barrier against predators trying...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wanaJF, Tafadhali mwenye kuweza kunipa mwongozo wa namna ya kupata used engine katika excellent condition anijuze. Kwa sasa mwenye taarifa zozote naomba aniPM Shukrani nyingi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Grand Inga Hydroelectric Project: An OverviewSchematic of the Grand Inga The Grand Inga is the world’s largest proposed hydropower scheme. It is the centerpiece of a grand vision to develop a...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Dar es Salaam.Tanzania’s reluctance to speedily reform its business environment may cost the country dearly as global reports – respected by investors – now rank East Africa’s second largest...
0 Reactions
1 Replies
782 Views
Wakuu msaada wapi naweza pata Zinc Dust kwa Dar?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
KWA UFUPI Kwa kauli kama hizi, nachelea kusema kuwa viongozi hawaonyeshi ushirikiano wa kutosha kwa wazawa na badala yake wanawakatisha tamaa. Ama kwa hakika neema ya kipekee imetufikia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi ni mtumiaji wa huduma hiyo..Jana mida ya saa 12jioni nilitumia huduma hiyo kuhamisha pesa kutoka account ya Bank kwenda M pesa, pesa bank ilihama, cha ajabu kwenye M pesa account haijafika...
1 Reactions
7 Replies
5K Views
Wadau mimi mshahara wagu total ni 650,000 ukiondoa makto take home ni 540,000.naitaji kampuni yetu ipitishie mishahara yetu benki ya crdb au kcb ili turuhusiwe kuchukua mikopo, hivyo naomba mwenye...
0 Reactions
31 Replies
9K Views
Habari wana jamvi. Naomba mwenye taarifa anijuze Fastjet wanatumia ndege aina gani kwasafari za Africa Kusini? Bei zao ziko poa sana kama wanatumia ndege zakueleweka ntafanya biashara nao...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
It was only six weeks ago that the Canadian smartphone maker BlackBerry announced it had formed a special committee to explore options to “enhance value,” including selling the company. Then...
0 Reactions
0 Replies
817 Views
Za jioni ndugu zangu Watu wengi sana wameniuliza juu ya faida na hasara za kuprint magazine yenye kiwango cha juu tuchukuwe mfano wa magazine cosmopolitan ambayo watu wengi wameliona au kulisikia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
nimefuatilia mafao yangu sasa uvumilivu unataka kuniishia, mara mtandao,mara tunasubiri statement kutoka arusha, lakini kwenye matangazo yao wanasa wanaprocess ndani ya siku saba.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
In an effort to attract a booming class of wealthy Muslim investors, Britain will be the first non-Islamic country to issue sovereign Islamic bonds, Prime Minister David Cameron has announced on...
0 Reactions
1 Replies
985 Views
Kwenu wana jamvi, Salaam. Ninataka kuanzisha biashara ndogondogo halali Dar es salaam lakini sijui ni ipi inaweza kulipa kwa urahisi bila ya kuwa na tension kubwa. Naomba mapendekezo ya biashara...
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Monday, October 28, 2013 BY MALELA KASSIM 28th October 2013 The government said yesterday it is putting in place procedures for exportation of surplus maize as Kenya announced plans to buy...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom