Habari Wadau.
Nna wazo la kufanya biashara ya usafi kwa maofisi kwa kufungua kampuni ya usafi. Naomba mchango wenu wazoefu wa biashara hii hasa uendeshaji wake na jinsi ya kupata clients...
Ndugu wana jamii nina mpango wa kuhamia morogoro naninahitaji kufanya ujenzi vivyo basi nahitaji kiwanja kitakacho kuwa na ukubwa wa "low density" na huduma za umeme na maji pia viwepo.
Wadau
Nafikiria kununua shares za Fastjet. Kwa fikra zangu ni kwamba hii kampuni inakuwa kila kukicha wateji wengi kwa kuwa ni budget airline. Sasa wameanza safari za South Afrika na Mbeya hivi...
Habari wakuu.Mwenye information namna ya kuendesha biashara ya butchery, gharama za kuanzisha, Faida yake ikoje na mambo gani ya kuzingatia.Msaada wakuu.
Katika kipindi cha wiki moja nimelazimika kuweka kuweka kifurushi cha Cheka Bombastik ya siku 7 mara 3, na ambayo huisha baada ya masaa 24. Iliponitokea mara ya mwisho jana tar 27 Nov 2013...
Naona kuna wigo mpana umesahaulika...hebu tujikumbushe
Kodi kwa minara ya simu na yamatangazo ya redio na Televisheni,hakika hili ni eneo jingine ambalo mapato yake yanapotea na ukizingatia ni...
Habari! Kama unatafuta nyumba ya kupanga au kununua maeneo ya mikocheni, kijitonyama, makumbusho, mwananyamala mbezi, usisite tuwasiliane kwa namba
0716 85 06 95
Ili niweze kukuwezesha...
Wakuu jamvini naombeni msaada wenu.
Nataka kupata Mining Licence (wenyewe wanaiita PML) ya kitalu cha Copper huko Ruangwa, Lindi.
Naomba mwenye kujua utaratibu anisaidie njue pa kuanzia na...
habari zenu wakuu..
naomba ushauri juu ya uchaguzi wa magari haya ...yani kati ya toyota corona na toyota vitz.
kutokana na kipato kidogo ndugu yangu ameamua kuniuzia kati ya hayo magari..,kwa...
Wakuu natumai hamjambo nilikuwa naomba msaada wa kujua jins ya kuagiza gari kuanzia jinsi ya kulilipia na malipo litakapofika hapa tz Garama za TRA .Engene capacty ni cc 2360 na ni la mwaka 2001...
Heshima kwenu mabosi zangu.
Wakubwa nina nyumba nilijenga miaka michache iliyopita lakini kumekua kuna nyufa moja inajitokeza mara kwa mara.Nimeshapata watu wakisema ni wataalam wa kudhibiti...
nina fire track sita na contena mbili za 20ft naitaji bei ya transit mpaka bunjumbura total cost ya kila kitu nikimaanisha bandari ya dar-es-salaam , madereva wakupeleka hayo magari sita na gari...
Kwa mawazo yangu zaidi ya asilimia 70% ya madereva hawajui kutumia indicator ifaavyo;
Binafsi nimekuwa barabarani muda mwingi na toyo yangu asubuhi na jioni nikienda kibaruani, ukweli ni kuwa kero...
Habari yenu wanajamvi.. Samahani members, ninaomba kujuzwa juu ya ofisi za clearing and forwarding. I am thinking kufungua ofisi ya aina hii, naomba kujua challenges ambazo they are likely to...
wapendwa salaam,
nataka nifungue ka boutique ka dogo hapo dar niuze vipodozi kutoka uk,swali langu ni hili kuna kodi yeyote mzigo ukishafika bandarini???nitumie njia gani ?zaidi ya kusubiri...
kuna kiwanja kingine kinauzwa karibu na azam complex.kiwanja kipo kwenye mtaa unaopitika na gari hadi kiwanjani, huduma zote muhimu zipo umeme ,maji, kiwanja kina ukubwa wa mita 20 kwa 20 kwa mtu...
habari wakuu.ninapenda kujua ama ushauri kuhusiana na kupangilia viwanja.
nina eneo lenye ekari zaidi ya 100 na ninataka kulikata vipande vipande/plots kama 300 hadi 400.
napenda kujua sheria ya...
Wakuu najaribu kutafuta website au email,number za Sim za Flamingo Restaurant bila mafanikio.
Hembu mtu anisaidie Contacts zao,kama email au number za sim
Stay blessed