kuna kiwanja kingine kinauzwa mbande dar es salaam karibu karibu kabisa na azam complex

njechere

Member
Joined
Nov 7, 2013
Messages
14
Points
0

njechere

Member
Joined Nov 7, 2013
14 0
kuna kiwanja kingine kinauzwa karibu na azam complex.kiwanja kipo kwenye mtaa unaopitika na gari hadi kiwanjani, huduma zote muhimu zipo umeme ,maji, kiwanja kina ukubwa wa mita 20 kwa 20 kwa mtu anayeijua mita vizuri ameshanielewa. Bei ni sh milioni 13 maongezi yapo. Kwa mawasiliano wasiliana nami 0716822166 au 0783298957 wahi uje kukiona.
 

Forum statistics

Threads 1,392,167
Members 528,552
Posts 34,100,446
Top