Kuna mdogo wangu amemaliza high school ameniomba nimu nunulie gari ya kufanya bolt hapa dar es salaam ili aweze kukusanya pesa ya kujilipia ada chuoni ambae kwa jumla anahitajika 8m kwa kila...
China wameishaipiga marufuku tayari.Russia nayo iko mbioni kufunga mitandao yote inayojihusisha na biashara hiyo.
Kwa wale waliowekeza huko ni vizuri wawe makini wasiache ela yao nyingi huko...
Ikiwa unafikiria kila wakati juu ya shida, utapata shida zaidi..
Ukifikiria juu ya suluhisho, utapata nafasi zaidi.
Hata kama kitu kinaumiza sasa, siku moja utaona kimekufanya uwe na nguvu...
Habari za leo wazee. Nimekua nikisafilisha mizigo kwenye magari yanayo safirisha mizigo kutoka kariakoo kuja morogoro, jana mzigo wangu wenye thamani ya sh 4.4M( milioni nne na laki nne) umepotea...
Africa needs a single currency, it will c.rush the dollar - Nigerian journalist Kemi Olunloyo
Nigerian journalist and chemist, Dr. Kemi Olunloyo, has stirred fresh debate on African economic...
MOJM Clearing Forwarding Agent
Tunatoa huduma za Clearing forwarding za aina zote Mahala ni bandarini na airport mizigo kama container,magari,loosecargo na parcel..
Charges zetu:
=>...
Jacob alikuwa mvulana mwenye hamu kubwa ya kufanikiwa. Aliamua kuanzisha biashara ndogo ya kuuza viazi karo kwenye mtaa wa jiji. Kwa bidii, alinunua viazi, kukaanga, na kuanza kuuza kwa shilingi...
โฆMwaka 2013โฆ
Huu ulikuwa mwaka ambao dunia ilishuhudia Nokia, kampuni kubwa na ya heshima, ikitangaza kuwa imeuzwa kwa Microsoft.
Katika mkutano wa habari, mkurugenzi mkuu wa Nokia alisimama...
DATA CABLE SET โ Kasi, Ufanisi na Ubora kwa Vifaa Vyako Vyote!
Unachoka na nyaya zinazovunjika haraka? Tunakuletea Data Cable Set ya kisasa yenye ubora wa hali ya juu!
Seti hii inajumuisha:
1x...
Umaskini hauanzi kwenye mfukoni, unaanzia kichwani. Ni hali ya kifikra kabla haijawa hali ya maisha. Mtu maskini si yule asiye na pesa, bali ni yule anayekataa kujifunza, anayepuuza maarifa, na...
Habari wadau.
Nina wazo la kuanzisha kiwanda kidogo cha kuchakata taka mbalimbali kwa ajili ya kuzalisha bidhaa mbalimbali(recycling)
Ninaomba kwa mwenye ufahamu wa kutosha kuhusu wazo hili...
Wakuu naitaji TV 32inch, sahivi kuna kampuni nyingi sana za TV ,hasa hizi made in china.
Je kampuni gani nzuri ya TV Kwa hizi made in china?
Ushauri tafadhari
Kabla sijakwambia ni STRATEGIES gani ningeenda kuzitumia ili kujenga hiyo brandโฆ
Naomba kwanza nikwambie maana sahihi ya BRAND ili uweze kunielewa vizuri huko mbele.
Huwa napenda kuelezea brand...
Habari wakuu,
Nina platform ya online shopping ambayo tayari ipo hewani โ kwenye website, Android na iOS. Tayari imekamilika kimuundo, na sasa natafuta mtu wa kuungana nami kama co-founder ili...
MADINI YA ALMASI YENYE THAMANI YA TSH 1.7 BILIONI YAKAMATWA YAKITOROSHWA UWANJA WA NDEGE MWANZA
โช๏ธWaziri Mavunde awapongeza RC Mtanda,Kamati ya Usalama,Uwanja wa Ndege na Kikosi kazi Madini...
Miaka ya nyuma dada ambaye sasa ni mtu mzima alikuwa anasoma Loleza Sekondari Mbeya; alinisimulia jinsi mchezo wa wanawake kuchezeana ulikuwepo. Akasema msichana mwenzako unamwona ndiyo mwanaume...
Kwenu NMB tabora.....,
*Kutokana na ongezeko la biashara /mzunguko wa biashara Tabora mjini benki ya NMB imekuwa ikizidiwa na wateja.
Jambo hili limepelekea kucheleweshewa kwa upatikanaji wa...
Ni salon ya kiume, tayarii nina computer imebaki tu kununua storage bas, Lakin kuna mawazo yamenijia Leo usiku kua kwanini nisiongeze saloon ya pili ambayo kwa eneo naloishi kwa wiki napata...