Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wadau nina 450000/= nahitaji laptop mpya TOSHIBA capacity CPU 1.70Ghz na RAM 2.0 GB system operating 32-bit. Asanteni
0 Reactions
0 Replies
842 Views
Ipo wilayani Mufindi - Iringa. Barabara inafika mpaka kwenye miti. Ipo miti 400. Zipo size kuanzia 13 m. Kila mti ni Tsh 30,000/= Contact: 0769877495
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Natafuta mtaji wa biashara ili niweze kujiajiri.nafanya kazi ya kuuza duka na vocha za jumla pia natoa huduma za mpesa na tpesa.nimefanya kazi muda mrefu lkn sina cha maana nilichofanya kutokana...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
CashFly is a unique URL shortening service that allows users to get paid whenever they share links and someone clicks. Think of it as a way to make money for doing what you normally do (sharing...
0 Reactions
0 Replies
702 Views
tv toleo jipya mwaka huu inauzwa kwa Tsh.650,000/= tu. ina kingamuzi ndani yake ya kushika channel zaidi ya 100 including local channels za hapa. 0718268969
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari za asubuhi.nataka nijue kitu gani kitafanyika kwenye kijiji cha 21 tanga? Je ni nyumba zinataka kujengwa?na kama ni hivyo zitakuwa zinauzwaje.naomba nielimishwe.Asante.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dear members/interprenuers, I badly need a Fan control for IST, i tried to check arround in our local markets, but unfortunatelly there was no where to be found. those who have an ideal where i...
0 Reactions
0 Replies
743 Views
Ndugu zangu nipo wilaya ya Mbeya vijijini,nimefungua duka dogo miezi miwili ilopita.Sasa wiki hii wamekuja watu wa Halimashauri wanakusanya pesa ya "taka ngumu" elfu ishirini,kwa kweli imeniumiza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu mimi sijakataa huu mgandamizo wa haja kutoka Tanesco,lakini bado wanatukatia umeme 48 hrs hii sio fair kabisa.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
HABARI ZA MAJUKUMU WANAJF! Naomba kupatiwa mkopo wa kiasi tajwa hapo juu kwa ajili ya kuendeleza mradi wangu. Ningependa kuurejesha katika kila mwisho wa mwezi kwa muda wa mwaka mmoja. Tafadhali...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Wadau katika kupambana na maisha ili kupunguza msongo wa mawazo wa kutegemea mshahara mwisho wa mwezi, nilianza ufugaji wa mbuzi na sasa nina zaidi ya mbuzi 900 katika mabanda yangu hapa dar es...
5 Reactions
15 Replies
4K Views
gharama za kupanga chumba cha biashara ziko juu sana na zinachangi kuuwa biashara za wajasiriamali. wenye vyumba hivo wanatake advantage ya upungufu wa vyumba kuweka kodi kubwa. vyumba vingi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wote? Nauza nyumba yangu ambayo ipo magomeni mikumi. Nyumba ina vyumba kumi vya kulala, na sehemu kubwa ya kupumzikia, mie niliitumia kwaajili ya kupangisha watu. Bei ni shillingi mil...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Do you happen to shop anywhere where you got quality product/service? Recommend that business to a global member driven Business Directory and you will get valuable Deal Points that will enable...
0 Reactions
1 Replies
992 Views
Habari wadau mlio jukwaani!! Naombeni msaada wenu kujua: 1. Aina ya sabuni zilizopo sokoni(miche,maji na dawa) 2. Sabuni zenye majina makubwa 3. Sabuni zilizo na kiwango cha TBS na BAR CODE?
0 Reactions
0 Replies
708 Views
Wadau nauza laptop mini ya samsung ni mpya, sh 450,000 nipo mwanza,
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wandugu naomba kuuliza bei ya mabati ya kawaida na yale magumu ya south na gharama ya kuezeka nyumba ya square meter 100 inaweza tumia mabati kiasi gani nawasilisha
0 Reactions
25 Replies
20K Views
Wakuu habari za leo? Naomba kujuzwa taratibu za kufungua akaunti ya dola na kama kuna charges zozote nitakua ninakatwa. Nimejaribu kutembelea website za bank lakini sipati taarifa ninayotafuta.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nauza Samsung tablet 10.1. Inafanya kazi vizuri sana. ILA ina skrach kidogo katika kioo chake cha nje. Tsh 600,000/= 0759777493
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…