EDF NA INSURANCE MATUMIZI YA EDF KWA INSURANCE BROKERS Mamlaka ya mapato Tanzania imeanzisha matumizi ya machine za ki electroniki za kutolea risiti kwa manunuzi yoyote yanayofanywa. Awali...
Sophisticated but user friendly payroll software is urgently needed for a company with 80+ employees. For serious dealers let us keep in touched
Thanks
Habari zenu.?
Naomba kujua na kupata mawasiliano kwa kampuni yeyote inayojishughulisha na usafirishaji wa mizigo toka nchini Russia.
Ninahitaji kusafirisha mahema kama 5-10,pia na sleeping bags...
kila nikitaka kununua muda wa maongezi kupitia ac yangu ya m pesa, mara iniambie kywa acount haipo mara acount haipatikani. na sijui itakuwaje katika kutoa pesa
Kenyan banks record 16.8pc growthno comment
admin
February 4, 2014
By Ruth Mutegi
The banking sector continues to show remarkable growth due to diversification of products (FILE)
Kenyan banks...
wanandugu pole na majukumu,
kuna mdau mmoja kasomea masuala ya marketing huko india. sasa anakaribia kurudi na atakuwa anaishi Dodoma au Tanga.
anataka kuanzisha biashara ya masuala ya marketing...
Nasema hivi kutokana na uzoefu wangu pia yalinikuta,nashauri ukitaka kuajiri mtu ajiri mtu ambaye si rafiki yako kwenye biashara zako ndio ata kuheshimu na kujali biashara zako,hapo mwanzo mimi...
Nimefungua Agent ya General Insurance, ( BIMA ),Natafuta serious people tufanye kazi pamoja, malipo ni kutokana na kazi yetu, the more we produce the higher the earn income. Please inbox me...
If you think you are beaten, you are,
If you think you dare not, you dont,
If you like to win but you think, you cant,
It is almost certain you wont.
If you think youll lose, youre lost...
WanaJF habari
naomba ushauri wenu kwani nataka kujenga ya kawaida ambayo haitagharimu pesa nyingi kwani
mimi ni mtoto wa mkulima naomba maoni, na vifaa mniandikie hapa namna gani naweza kujenga...
Nataka kufnyabiashara ya ujumbe mfupi w maneno wa huduma kupitia mitandao ya simu!
Tafadhali kama kuna mwanajami forums anyeweza kunisaidia kupata contacts au kampuni inayotoa hizi huduma...
Habar, wadau nipo kwenye semina ya Telexfree, si waelewi elewi, maana nawaona kama DEC.
vip kuna mtu mwenye detailed information.please i need a help kabla ya kujiunga, ahsante