Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

High profits lure many into quail farming Share Bookmark Print Rating Quail birds at a farm. Most poultry farmers are now replacing...
0 Reactions
8 Replies
7K Views
Salama wana JF. Ninategemea kuingia katika biashara ya kuleta mashudu ya pamba ( cotton cake) toka kanda ya ziwa, kwa wale wanaotengeneza vyakula vya mifugo. Ilikujua ni kiasi gani niwe naleta...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
High profits lure many into quail farming Share Bookmark Print Rating Quail birds at a farm. Most poultry farmers are now replacing...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Wapendwa nahitaji mawazo yenu ya busara tafadhari, je mil. 3 ukiipata leo unaweza unaweza kuifanyia nini??
0 Reactions
10 Replies
3K Views
fungua hii link fuata maelekezo 2CashSite.com Earn 10$ for every 30 second Task. Internet Job
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa wadau wote wa jamii forum napenda kufahamu jinsi ya kuagiza gari uingereza kupitia mtandao uitwao Autotrader,napenda kujua taratibu zikoje kuagiza gari huko na njia salama ya kutuma pesa,kwa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wana Jf, mtakumbuka kuwa ni miaka sasa imepita tangu wakazi wa Kipawa wahamishwe na wakazi wa kipunguni kutakiwa kutoendeleza makazi yao wakisubiri kulipwa fidia na kuhama ili kupisha upanuzi wa...
1 Reactions
38 Replies
13K Views
Natoa rai kuwa serikali iwakate pembe tembo wetu wote, kama ambavyo ng'ombe hukatwa zihifadhiwe na serikali. 1. Kwa namna hiyo tutaweza kuhifadhi uzao wao, maana hawatawindwa tena na majangili...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Written By Admin on 26 January 2014 | 18:08 These are the 10 most successful African family businesses that have been growing for decades. Their founders all passed the baton to succeeding...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
jf natumaini nitapata mchanganua wa biashara hii, nipo mbioni kuijaribu mm nipo mbeya nataka nitoe mwanza to mbeya. naweza pata utaratibu wake na je nilazima niwe na kibali, pia changamoto zake ni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hivi karibuni Ndg. Ludovick Utoh, Mkaguzi naMdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG),alisema kuwa hali ya nchiya Tanzania kiuchumi kwa maana ya mapato na matumizi si nzuri na kwamba deni laTaifa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana Jf naomben mnisaidie ni dawa gani ya kuua magugu na majani kwenye mpunga bila kuleta madhara kwenye zao? Na kuna majani aina ya NDAGO majani haya huwa yanakuwa na mafundo kwa chini kama...
0 Reactions
17 Replies
17K Views
Naombeni mnijuze ninyi wakazi wa dar, nataka kununua Gari Japani kupitia Be forward, Je hilo tawi la dar es salaam linaweza kunifanyia clearing nikaipata gari? Itachukua siku ngapi mpaka gar iwe...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Wanajamvi wataalamu na wazoefu wa ujenzi, Nyumba za NSSF zenye ukubwa wa 125 sqm (built up area) zinauzwa TZS 114,000,000. Naomba mnijuze hii bei ni realistic au magumashi?
0 Reactions
20 Replies
15K Views
Ndugu wana Jr mimi niko mwanza nataka kujenga banda la kufugia kuku wapi naweza pata ramani nzuri ya banda zuri iliniweze kuanza kufuga kuku wa kienyeji
0 Reactions
1 Replies
3K Views
ninampango wa kufungua duka la vifaa vya computer na pc zenyewe niko arusha ila sijajua bado ni wapi naweza kununua hivo vifaa kwa bei nzuri ili na mimi nije ni uze reja reja na kupata faida.ni...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Tangu Tigo Pesa msimamishe kusajili mawakala wapya wa Tigo Pesa, kwa sasa line za uwakala zinapatikana kwa mawakala wakuu, ambao wanaziuza hadi sh 500,000, kutokana na uhitaji kuwa mkubwa. kwa...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Net
https://www.jamiiforums.com//index.php? task=101999
0 Reactions
2 Replies
2K Views
nimepitia mawazo mengi sana humu JF yakitoa namna ya kubuni wazo la kuboresha kipato! Ila ni jia ipi ya kupata mtaji??
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jamani nisaidieni namna ya kupata kibali kwa urahisi maliasili mnrt nataka kufuga kwale na mbuni tafadahali nisaidieni.nasikia kabla hujaanza kufuga lazima uwe nacho please wadau mnaojua
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Back
Top Bottom