Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari wadau? Naomba msaada wa taratibu za kufuata ili kupata kibali cha kuuza kemikali na vifaa vya maabara za shule za sekondari.
1 Reactions
0 Replies
365 Views
Habari, naomba mwenye uzoefu wa kutumia mfumo wa kupata leseni ya biashara online uitwao tausi portal unaopatikana katika tovuti ya Tamisemi, anisaidie namna ya kupata mawasiliano ya huduma kwa...
2 Reactions
47 Replies
19K Views
Habari zenu wakuu, Naomba kujua pikipiki nzuri kwa ajili ya boda boda nahitaji kununua pikipiki used nijaribu biashara ya bodaboda
1 Reactions
21 Replies
6K Views
Ushawahi Jiuliza kwanini ukipanga jambo baadae unajipatia udhuru mwenyewe... Ni kweli unajisemea saizi natunza kiasi Fulani Cha pesa mfano 100,000 lakini ikifika 20,000 Unaitumia??? Hata...
1 Reactions
7 Replies
589 Views
Ndio, itakuwa na maana sana kama utakuwa nayo mengi, idadi yoyote nachukua. Yakuwa makubwa makubwa ndio hayahitaji zaidi.
1 Reactions
11 Replies
717 Views
Kuwa mjanja na submita kata. Ondoa changamoto. Jifunze namna ya kuzitumia Mita janja. Submita hizi ni nzuri sana na utainjoy sana. Endapo ukijua kuzitumia. Kumbuka submita hizi haifungwa kwa...
0 Reactions
3 Replies
376 Views
Wachumi mbona mpo kimya na hamna maelezo? Waziri mwenye dhamana,nini kinaendelea katika uchumi wetu?
1 Reactions
11 Replies
686 Views
Nawasalimu...Natamani mwezi August nifungue biashara ya kuuza mafuta ya kupikia,mchele na karanga. Kama kuna mtu yupo mikoa au eneo linalozalisha hayo mazao tunaweza kujadiliana namna yakufanya...
4 Reactions
6 Replies
521 Views
Habari ndugu zangu, toka nimeanza kazi yangu iliyotukuka nianayoipenda huu ni mwaka wa kumi sasa. Miaka ya kuzaliwa ni 37 . Nashukuru kwa kidogo ninachoweza kujivunia ni kuwatengeneza baadhi ya...
5 Reactions
10 Replies
2K Views
Mimi ni kijana wa miaka 25, katika kupambana kwangu nimepata mtaji wa milion 15 nataka nianze biashara ya duka la vifaa vya umeme. Sasa naombeni muongozo (kupata mlango, kuagiza mzigo, maeneo...
12 Reactions
73 Replies
9K Views
Miaka miwili iliyopita, nilimshauri rafiki yangu kuwekeza kwa kununua hisa za CRDB zikiwa Tsh 400 kwa kila hisa. Leo, tumekutana tena, na akaniuliza, “Sasa hivi zimefikia shingapi?” Nikamtazama...
0 Reactions
2 Replies
505 Views
Habari? Kama mada inavyo jieleza nina mtaji wa 900,000 ila tayari nina Epson L3110, lamination machine na PC ambayo nitaanza nayo. Je' nianze na vifaa vipi muhimu vya kuweka kwenye stationery...
4 Reactions
36 Replies
3K Views
Habari wakuu, Nahitaji kufungua biashara maeneo hayo tajwa (eneo moja wapo) lakini sina uhakika ni eneo gani hapo limechangamka kwa ajili ya biashara? N pia fremu inaweza ikafika kiasi cha bei...
1 Reactions
7 Replies
946 Views
Afisa Mtendaji Mkuu wa Mixx by Yas Bi. Angelica Pesha akizungumza wakati wa hafla ya ushirikiano wa kimkakati kati ya Mixx by Yas na DSE ambapo pia walizindua mini App ya DSE 'Hisa Kiganjani'...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
1. Mgahawa/mama ntilie Maeneo bora: Masokoni, migodini, stendi, karibu na vyuo au hosteli. Faida: Mauzo ya kila siku, gharama ndogo za uendeshaji, wateja wa kudumu. 2. Udalali wa bidhaa na huduma...
3 Reactions
7 Replies
10K Views
Habari zenu wanajamvi, Mm ni mmojawapo wa watumiaji na wawekezaji wa sarafu za mtandao (cryptocurrency) pia ni mwajiliwa wa taasisi fulani, katika kipindi hiki cha bullish naona sarafu zinapanda...
4 Reactions
54 Replies
4K Views
NAIBU WAZIRI KIHENZILE AIPONGEZA TCAA UIMARISHAJI ANGA NAIBU Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile ametembelea na kuipongeza Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) kwa kusimamia kwa mafanikio...
0 Reactions
1 Replies
268 Views
SERIKALI NA SEKTA BINAFSI KUANZISHA VITUO VYA KUKODISHA MITAMBO YA UCHIMBAJI MADINI ▪️Hatua hiyo kuongeza uzalishaji wa madini nchini ▪️Nyamongo kuanzishwa Kituo cha Elimu ya Uchenjuaji Madini...
0 Reactions
0 Replies
241 Views
📘 🔁 Katika somo letu lililopita, tulielewa vizuri dhana ya ongezeko la mtaji (capital gain) — faida unayopata pale bei ya hisa inapopanda. 📍 Leo, tunazungumzia faida ya pili: Gawio. 1️⃣ Gawio...
2 Reactions
2 Replies
834 Views
Recently nimepokea taarifa mbaya kutoka kwa jirani wa mfanyabiashara mmoja!ambaye amevamiwa usiku na watu wenye silaha,wakamcharanga mapanga,wakampora hela na kutokomea kusikojulikana!..huyo jamaa...
27 Reactions
27 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…