Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Naomben ushauri nahtaji Kuanzisha biashara ya kuuza viatu vya Mitumba karume vya kiume raba n.k kwa wenye uzoefuvna biadhara hii je mtaji kiasi gan unahtajika kwa kuanzia? Na je inalipa?
0 Reactions
12 Replies
7K Views
Hi.nataka kwenda uturuki kununua nguo za ndani hivyo naomba wenye uzoefu wanisaidie website zao ili niombe barua ya mwaliko wa kwenda huko,.ahsante
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wana jf,yeyote mwenye uzoefu na kaz hii nataka kujua bei za hizi machine na aina zake
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Vodafone, one of the world's largest mobile phone groups, has revealed the existence of secret wires that allow government agencies to listen to all conversations on its networks, saying they are...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tunashuhudia shilingi ikiporomoka kwa kasi ya ajabu. Kutoka shs 1610 kwa $ hapo january 2o14 hadi shs 1677 leo hii. Jee uchumi unayumba? Mambo gani yanasababisha kushuka fedha yetu? Jee ni...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nachukua fursa kupongeza uongozi wa benki ya NBC kwa kuboresha huduma zao maana mteja ukienda kwenye matawi yao hakuna foleni na unahudumiwa kwa bashasha ya hali ya juu. yaani ukitoka unakuwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
HALLOW!.. *HONGERA, WEWE NI MIONGONI MWA WACHACHE MLIOALIKWA KTK BONGE LA EVENT LA KUSISIMUA, NI UTAMBULUSHO WA MFUMO MPYA WA KIBIASHARA WA KIMATAIFA UNAOWEZA KUKULIPA MPK ZAIDI YA 1.2 MIL...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Tokea kuanza kutumika sana kwa neno ujasiriamali na mafunzo mengi ya ujasiriamali kutolewa, kila mtu anayefanya biashara ya aina yoyote anajiita mjasiriamali. Hata mtu mwenye biashara yake...
2 Reactions
0 Replies
3K Views
WAKUU HABARINI,Naomba taarifa kwa anaye jua maeneo ambayo solo la mpunga au Mchele lipo vizuri. ASANTENI
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kuuliza swali wakuu. Nina ndugu yangu yuko Ulaya alienda kusoma alichukua Law degree ya kwanza na ya Masters pia alichukua sheria zaidi ni mambo ya corporate law. Huko aliko alifamikiwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
wanajf naomba kama kuna mtu arusha anauza haya maua anijulishe kwa ni pm.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyoeleza naombeni mwenye ufahamu ni njia gani zinazotakiwa kufuatwa ili manispaa waweze kunipa tenda ya kukusanya ushuru wa mojawapo ya maliwato zake,mfano ile...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Wakuu wangu naomba ushauri kwa wenyeji wa Tunduma nataka nifungue ICT business tunduma itakuwa more professional,Computer supply and repair na Internet office zinapatikana hapo?
1 Reactions
22 Replies
10K Views
Nataka kufungua maabara ya kisasa lengo kuu likiwa kukuza kipato changu na kuwasaidia wagonjwa wanaosota katika foleni za muda mrefu hospital. Jengo la kuwa maabara lipo katika hatua za mwisho...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Wadau nimesoma gazeti la daily news la leo ukurasa wa 19, taarifa kama hii niliwahi kuisoma ktk magazeti mengine. Mimi nashangazwa, nakerwa na ninasikitika kwa tabia hii ya serikali na taasisi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajf, Nawasalimu. Mimi ni mkulima wa mahindi kigoma, kutokana na bei isiyo ridhisha ya mahindi huku kigoma kwetu nimeona nivema kama nitayasafirisha nakuyauza kwa bei ya jumla kama bei ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Stockholm, 4 June, 2014 – The subsidiary of Millicom (Stockholmsbörsen: MIC) in Tanzania, Tigo, joined with Airtel and Zantel today to announce Africa's first agreement to allow their...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
toka DAR, Salam kwenu wakuu Ni kwamba hivi karibuni natarajia kuanza masomo ktk chuo flan hapa mjini.... mbali na Ada, nina Shiling LAKI 8 hivi kama mtaji wa biashara, sasa wakuu naomba...
0 Reactions
33 Replies
8K Views
Wakuu ni masikitiko makubwa kwa wajasiriamali wote waliohifadhi mahindi ghalani kwa kuwa mwaka huu hakuna bei kabisa na inaonekana kuna chakula cha kutosha pia katika mizunguko yangu katika mikoa...
0 Reactions
32 Replies
8K Views
Habari wana JF wenzangu. Bila kupoteza muda me nipo huku border burundi nasikia tu kuna huduma ya M-Pawa kutoka Vodacom ila nashndwa kuielewa vizuri inafanyaje kazi, je faida na hasara zake ni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…