Hongereni benki ya NBC kwa huduma bora

connections

JF-Expert Member
Apr 27, 2013
1,736
2,315
Nachukua fursa kupongeza uongozi wa benki ya NBC kwa kuboresha huduma zao maana mteja ukienda kwenye matawi yao hakuna foleni na unahudumiwa kwa bashasha ya hali ya juu. yaani ukitoka unakuwa umeridhika 100%. Benki nyingine igeni mfano wa NBC
 
Iyo benki iko ICU ukiangalia balance sheet yake.........akuna cha kuiga toka NBC,akuna foleni simply becouse the bank is broken
 
mmh hebu rudia tena? benki ya NBC wanastahili sifa hii kweli? Benki ya kipuuzi sana hii hakuna customer care hata kidogo yaani ni wazee tu wamejazana humo ndani wakisukuma vitambi lakini ufanisi hamna.
MAPUNGUFU YA NBC kwa sasa;
1. Hawana CALL CENTRE ya kupokea Complaints/complements za wateja
2. Hawana Mawakala Mtaani (kama ilivyo CRDB, DCB,EQUITY etc.)
3. Wafanyakazi wao weng sijui hawalipwi vizuri (Demotivated) yaani ukiwa na tatizo la kibenki ukaenda kuripot itachukua muda sana kulifanyia kazi.
***Namna wanavyoajiri/kupandisha vyeo na kulipa wafanyakazi wao huenda ndo ikawa chanzo cha utendaji mbovu wa NBC
 
nbc ni benki mbovu sana na ni wezi wakubwa..nashauri wenye akaunti nbc wazifunge haraka kabla hawajalia
 
NBC kumejaa wazee na vijana wavivu (HAKUNA INNOVATION wala kujituma). wao bora liende wenzao wana kuja na strategies mpya (kuham salio/deposit/withdrawal kwa kutumia simu yako wao mpaka leo mteja ukihitaj pesa lazima uende Benki/ATM
 
Nbc almost dead ila waliajiri a talented Customer Care Specialist Rahel Mwalukasa. Labda itaamka tena.
 
Rahel hawezi kubadilisha NBC peke yake jamani. Ukitaka kujua uozo wa NB nenda ale Ubungo na UDSM yaani wamezubaa hatarrii
 
pia wameshindwa kutumia Mobile Banking kurahisisha transactions wao bado wapo ANALOGUE
 
Nachukua fursa kupongeza uongozi wa benki ya NBC kwa kuboresha huduma zao maana mteja ukienda kwenye matawi yao hakuna foleni na unahudumiwa kwa bashasha ya hali ya juu. yaani ukitoka unakuwa umeridhika 100%. Benki nyingine igeni mfano wa NBC

Ukweli Mtupu Mkuu Na Big Up Sana NBC.
 
Pole sana kama ni mteja mpya wa hyo benki, umekuta hamna foleni kwa kuwa wateja wamekimbia. hamna benki mbovu kama hii tz kwa sasa. hata TPB wameshawaacha. Wale wanaoamini (kiimani but not reality) kuwa unaweza kupata mikopo bila riba wanaweza wakaifaidi manake walianzisha hiyo huduma
 
Back
Top Bottom