Shilingi inaenda arijojo

crabat

JF-Expert Member
Dec 28, 2012
4,322
2,204
Tunashuhudia shilingi ikiporomoka kwa kasi ya ajabu.
Kutoka shs 1610 kwa $ hapo january 2o14 hadi shs 1677 leo hii.
Jee uchumi unayumba?
Mambo gani yanasababisha kushuka fedha yetu? Jee ni kupungua kwa exports?
Jee zile 200 Billion za IPTL zilizoingia sokoni sio sababu?
Halo hii imesababisha mfumuko wa bei za bidhaa madukani.
Upande wa pili wa mungano yaani Zanzibar hawahusiki na mfumuko huu ila wao wanapata machungu tu ya mfumuko usowahusu...ni hasara kwa uchumi wa znz na kwa wazanzibari kuendelea kupata mkomoto wa kiuchumi kwa sababu kina Ali Kessy hawaoni hili na vibaraka wao pale kisiwandui ni vifuu vya nazi
 
Wakubwa watakuwa wameongeza dola za mikopo kununua maruhani ya kuwapigia kura mwakani. Zile nyingine kuna mhindi katumwa akatengenezee kanga, kofia, na vtu vingine watakavyohitaji 2015.
 
na bado Dola itafika Tsh. 3000 muda si mrefu unategemea nn ukiwa na vichwa panzi pale HAZINA (Wizara ya Hela) wanawaza kuiba tu.
 
nimebadili USD mwezi wa 4 kwa 1620 sasa jana nimeenda kununua USD naambiwa ni 1675 duuh nilichoka
 
Jana mi nimenunua dola 1 kwa tshs 1700 ni mbaya sana , hela yetu imepoteza thamani kwa kipindi kifupi mno
 
Kama BoT imeingia kwenye siasa za CCM unategemea nini?

Nchi za wenzetu Bank kuu zao haziguswi, na ushauri wao unafuatwa.
 
Back
Top Bottom