Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
231
Posts
7.2K
Threads
231
Posts
7.2K

JF Prefixes:

Habari wana mmu. Naomba wenye uzoefu namalorry aina yaScania itakayofaa kwakazi yakubeba kokoto namchanga ni ipi kati ya 113h,112h, 114h 93m au 93h 124L hapa nahitaji ulaji mafuta , service...
0 Reactions
1 Replies
823 Views
Ifuatayo ni Technique tunayotumia kuiba kodi kupitia mashine hizi zilizoletwa na sirikali na TRAAAA; Unanunua mashine 2 unaingiza settings zinazofanana isipokua moja inakua ina act kama client na...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Mazungumzo ya Soko la Pamoja EAC yakwama Faraja Mgwabati Daily News; Thursday,November 13, 2008 @21:15 Mazungumzo ya kuanzishwa kwa Soko la Pamoja la Afrika Mashariki yamekwama baada ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jema Africa Limited aggregates crushing plant iliyopo Msata Mazizi inawakaribisha wote wenye ujenzi wa nyumba binafsi au makampuni yanayojihusisha na ujenzi.Tunazalisha kokoto nyeusi zenye...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Tanzania Minerals Audit Agency (TMAA) Gemstones worth billions of shillings were recovered from foreigners in a joint operation by security forces between September and early this month, it has...
0 Reactions
0 Replies
841 Views
Maduka mengi leo yamefungwa,wanunuzi wamekaa nje huku wakiwa wameshika tama!!.Kisa mashine za kodi!!!!! Tanzania nakupenda kwa moyo wote!!!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Yaani nimefika hapa yapata 1 hr ago nikakuta ATM moja inafanya kazi but haina hela, nimeulizia customer service akaniambia itachukua 1 hr mambo yatakuwa shwari. Nikapiga simu kwenye hotline yao...
1 Reactions
47 Replies
6K Views
nimepakumbuka sana kwetu, nyumbani kwa baba na mama, where i was born twenty something years ago.. niko kwa muda kwa ajili ya salam za hapa na pale, ndugu zangu, maisha ya raia wenzetu huku...
0 Reactions
0 Replies
764 Views
Akiongea kwa kujiamini,bilionea Mengi leo wakati akikabidhi zawadi kwa washindi wa shindano la ujasiliamali,ametoa darala na kujibu hoja ya waziri Muhongo kwamba wafanyabiashara wa tanzania hawana...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Wandugu, Nimeona cement mpya ya twiga plus. Napenda kujua ina nini cha zaidi kulinganisha na ile ya zamani. -Je inatoa tofali nyingi zaidi au imara zaidi? -Je ni kukauka haraka? Tafadhali mwenye...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Wawekezaji njooni Kusini{Lindi na Mtwara},Umeme wa Uhakika upo kusini,Ukatiki,njooni mjenge Viwanda Tanzania kusini#Umeme wa Uhakika Upo# NB:sehemu ambayo Tanzania umeme ausumbui ni hiyo...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama nilivyoanza hapo juu. Wilayani kwetu kuna mahitaji makubwa ya gari la maji taka na kwa muda mrefu tumetumia gari la Halmashuri ku- discharge maji taka kutoka katika vyoo vyetu hapa wilayani...
1 Reactions
3 Replies
5K Views
The Mara River is an international river, shared between Kenya and Tanzania. The Mara River Basin is about 13,750 km2, of which about 65% is located in Kenya and 35% in Tanzania. The Mara River...
0 Reactions
1 Replies
684 Views
THEMI BUILDER has engaged in talks with banks on building projects loan for our clients. once this is done will notify the public upon our mortgaging policy. so stay tuned Our offices are...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Positioning STRATEGIES for GRADUATE job seekers: CAREER SUPPORT SERVICES CAREER SUPPORT SERVICES Dear Super Applicants, How do you go about getting your dream job? In the last ten years in...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
My JF Members, Habari za muda huu! Naomba mnifahamishe ukweli kuhusu hizi nyumba zinazojengwa na shirika la nyumba la Taifa (NHC) na kuuzwa hasa kwa hapa Dar es salaam bei zao halisi zipoje...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
This year, nine individuals join the ranks of Forbes’ third annual ranking of the richest people in Africa on account of rising stock prices, new oil deals and high-profile M&As, among other...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Kutokana maendeleo ya sayansi na teknolojia duniani,matumizi ya kadi za malipo mfano WESTERN UNION,VISA,TEMBO CARD etc matumiz yake yameongezeka hasa kulingana na kupanuka kwa soko la kimataifa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakuu, msaada tafadhali kwa anayefahamu taratibu za kupata leseni ya Clearing & Forwarding Agent. Hawa jamaa wakututolea mizigo yetu wanasumbua sana bana!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kutokana na foleni za magari na usumbufu usiyokwepeka imebidi kuvumbua usafiri wa haraka..... Tumia helikopta. Helicopter for hire lands on rooftop of ten-storey building in downtown Dar es...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom