We aim to start, grow and finance entrepreneurs in emerging markets.
Our mission is to get 5 businesses started or grown per day.
Currently we help two per week.
We will support any...
Wapendwa wana JF,
1. Napenda kufahamu je ule utaratibu wa Mtumishi wa Serikali kuwa exempted kulipa kodi anapoingiza gari nchini bado upo au kwa sasa umefutwa?
2. Naomba kufahamishwa: Ikiwa...
Jaman ningependa kujua mambo kuhusu biashara hii, changamoto na faida. Na gharama zake, uendeshaji ikiwa ni pamoja na maeneo mazuri yanayo lipa na gharama zake.
Kenya wildlife services has granted a right of way to kenya railways to develop the std gauge railway through the parks (Daily nation kenya 15 October 2014)
Ya Serengeti wanaipigia kelele!
#Kiwanja kina ukubwa wa Mita 20 * 30.
#Kipo #Kipo tambalale.
#Umeme upo karibu.
#Kipo #kipo karibu na barabara
kubwa ya kwenda mivumoni
na salasala.
#Bei milioni 12.
#cont ; 0683499369...
Niko Arusha, Nauza PS2 ziko tatu, kila moja ina padi 2,tv ya nchi 18, Zote zimechipiwa na zina Flashi ya 8gb kila moja ikiwa na game 2. Bei ni 260,000 kwa kila set moja iliyokamilika. Hotline...
The Japanese government is going to fund construction of a mega dam on Thiba River to curb water shortages on Mwea Irrigation Scheme. Please read more on this here for details
Habarini wanaJF poleni na gharama ya maisha inayotufanya kuhangaika, na majukumu ya hapa na pale.
Pasipo kuwachosha, hili janga la ukosefu wa ajira limefanya watu wabuni mbinu mbalimbali za...
TTCL Chief Marketing and Sales Officer, Peter Ngota
Discussions between the government and Bharti Airtel with regard to the 35 per cent shares of Airtel in Tanzania Telecommunications Company...
AECF REACT R3 COMPETITION
Eligibility Criteria
You must meet all of the following criteria for your application to be considered:
Your company is a private for - profit company, partnership or...
Waungwana mimi nina eneo langu aeneo ya malagalasi yanapatikana haya madini ,ninaomba mwenye contact za wahusika serious niwasiliane nao kwani niliwahi mtumia jamaa mmoja sample akaipima tukafanya...
Hodi tena jamvini, haya maziwa ya azam mapya ukishayafungua ukiweka kwenye friji yanaganda na huwezi kuyatumia tena. Ni tofauti na daily milk ambayo ata ukifingua ukatia kwenye friji yanabaki kuwa...
Umeme mdogo umekuwa kero kwa watu wanao tumia vifaa vikubwa kama vile motor;mafriji n.k
Hata Stabilizer zimekuwa zikishindwa kukabiliana na tatizo hilo
Inafikia hatua vifaa hivyo havifanyi kazi...
Gavana wa jimbo la Virginia, Marekani Bwana Governor Bob McDonnel, ameonesha wasiwasi wake wa kupungua kwa mapato yatokanayo na ushuru wa nishati ya mafuta kwa kadiri watu wanavyozidi kununua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.