Nampango wa kuanzisha utengenezaji na uuzaji wa chakula cha ngombe ( hay) ,naomba ushauri nitapata wapi au ntaagiza wap hay harvester
- ya kutosha kuvuna walau ekari kumi kwa siku( kubwa )
-...
Wana jamvi mlioko Arusha, naombeni msaada wa majina ya hostel au rest house nzuri na zenye bei nafuu hapo Arusha mjini ambazo zinafaa kuishi mgeni wa Kitanzania. Lengo ni kujaribu kupunguza...
Looking for people who own and trade stocks in TZ? Or an individual with enough knowledge on stock trading, specifically TZ stocks. Currently trade low price stocks in the US. Would like to invest...
Vijana wengi wamesoma wameelimika lakini wanashindwa kuwa na vitu kama hivi ili kuweza kupata create ideas zao katika mambo ya ki technology.
Hii ni router ambayo unaweza kutengeneza electronic...
1.Je unachanganywa sana na maeneo kama Kariakoo wakat unatafuta mahitaj yako ya kibiashara?
2.Je wewe ni mgeni jijini Dar es Salaam na ungependa kupata mahitaj yako bila kusumbua watu kwa...
Idea yako ndio utajiri wako! Kama una idea makini ya kibiashara tuwasiliane tuipe uhai idea yako.
Wadau kama kuna yeyote mwenye idea ya kibiashara, lakini ameshindwa ku finance idea yake...
habar ndugu zangu watanzania, mimi ni mjasiliamali mdogo nimemaliza chuo ud nimeona nijiajiri kupitia biashara ya mafuta ya alizeti, kikubwa naomba mniunge mkono lita tano (5) ni Tshs. 18000 tu...
Wadau wakati huu naombeni kuwajulisha kuwa nimefanikiwa kusajili kampuni ya Ujenzi katika majengo na barabara daraja la saba ,lakini ni matarajio yangu ku upgrade kuwa daraja la Tano muda ni...
Pipeline ready to transport gas to Dar, say officials
The entire pipeline has a capacity of 784 MMBTU, which will be raised to 1,002 MMSCFD in future. FILE | TEA Graphic
IN SUMMARY
The $1.2...
Mara nyingi nafuatilia kuhusu post zenu namna ya kufanya manunuzi mtandaoni.....nashukuru nimepata ufahamu lakini kuna jambo linanitatiza kuhudu dhl,,,,swali..napofanya manunuzi mfano amazoni kwa...
Wakuu poleni na Kazi,
kwa wataaalamu wa biashara hapa, kama wote tunavyojua kuwa football betting ni biashara za watu wengine na wanapata faida nyingi sana kwa kupia biashara hiyo, ukipita mitaani...
NI VIZURI KUJUA VITU FLANI, USUSANI KATIKA UJASIRIAMALI
Ulishaji: Kuku wa kienyeji wanaweza kulishwa
kwa kumia mahindi, mchele, na mabaki ya
ugali. Vyakula hivi ni lazima vikaushwe vizuri na...
Hivi tumekosa Matajiri hata 5 Tanzania wazalendo wakaonganisha Nguvu ya Pesa na kutengeneza Kampuni 1 ambayo itaweza kuwekeza ktk Usafirishaji wa hii Treni kati ya Airport na city Center, then...
Habari za asubuhi wadau wa Jamiiforums;
Kwa ushauri wa mambo ya mikopo na biashara, wasiliana nasi kupitia;
Email: zackfinancetz@gmail.com
Tunawatakia siku njema.
Heshima kwenu waungwana wa JF.
Naomba kufahamishwa hatua za kufuata ili kupata mkopo benki kwa kutumia nyumba kama dhamana. Kwa sasa sina hata hati ya nyumba yenyewe. Nyumba iko katika jiji...
Wadau wa uchumi naomba mnipatie majibu yakinifu kwanini dollar inapanda sana kila hasubuhi.
Pia EXCHANGE RATE inafanyika je na nivigezo gani vinafuatiliwa kuandaa
Swali la nyongeza: Hivi...