Msaada: Football Betting, Faida na Hasara na mbinu

ProBook

JF-Expert Member
Jan 13, 2012
537
250
Wakuu poleni na Kazi,
kwa wataaalamu wa biashara hapa, kama wote tunavyojua kuwa football betting ni biashara za watu wengine na wanapata faida nyingi sana kwa kupia biashara hiyo, ukipita mitaani sasa hivi sehemu nyingi sana wanajuhusisha na kubetisha watu na watu wanabet sana, mimi naomba msaada hapa wa kuuliza mambo machache..
1)Je huwa ina faida wa watu wanaobet au kila siku ni ela inaenda na hakuna kushinda hela yoyote?
2)Mbinu sahihi za kubet ni zipi?
3)Ni njia nzuri ya kujipatia kipato kwa mtu wa maisha ya kawaida..?
Asanteni!
 
Zanzibar Spices

JF-Expert Member
Jul 14, 2013
7,403
2,000

Jpili nenda Church kamuulize mchungaji.
Jibu atakalokupa juu ya huu mchezo uje utuambie.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom