Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wana JF, Poleni na majukumu mliyonayo. Ni kwamba mimi ninaishi Dar es Salaam. Umbali kutoka yalipo makazi yangu hadi city centre ni wastani wa kilometer 18. Nimeajiriwa sehemu ambako kwa maisha...
0 Reactions
90 Replies
15K Views
Napenda kujua gharama za kprint vipeperushi hapa DSM ikoje! NAONA SIKU HIZI VIPEPERUSHI VINGI SNA BARABARANI TENA COLOURED ! Nataka nitengeneze matangazo kwa ajili ya uchaguzi kijijini ...Nataka...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habarini Wadau, Ninaomba kufahamishwa ni taasisi ipi au bank gani inayoweza kunikopesha mkopo wa kuanzia Tsh.mil 10 au zaidi endapo nina Assets zisizohamishika (nyumba na mashamba) tena mjini...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wengi wa madalali wa nyumba za makazi nchini Tanzania hulipwa ada kuanzia 5% mpaka 10% kwa kila nyumba wanayouza au kupangisha. Madalali nnchini wanashindana kwenye kila nyanja (kuuza kwa haraka...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu wandugu. Naomba kwa mwenye uelewa juu ya mikopo,maana kunasiku nimeenda NMB-Nbarali nikataka kujua utaratibu mzima wa mikopo na urejeshwaji wake kiukweli nilishangaa sana. Pale...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wa Jamii Forum. Naomba mnisaidie hapa kutokana na uelewa wangu mdogo wa masuala ya uchumi, kila siku nasikia kupitia vyombo vya habari kuwa hali ya uchumi wa nchi yetu ni nzuri na uchumi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nataka kuagiza simu ya iphone $549 , je nitatozwa kodi tsh.ngapi? thanks
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naombe mawazo yenu jinsi ya kutengeneza busines plan nianzaje na biashara gani nitayo weza.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ninaomba nikuulize maswali ya kiuchokonozi... Eti hivi baada ya UWEZO kushinda zile 100m... Je, washindi wengine walioshinda kiasi hicho hicho baada yake ni wote wamegoma kutangazwa kwenye vyombo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
msaada mambo ya kuzingatia katika kilimo cha matikiti Songea!
0 Reactions
0 Replies
891 Views
Je kuna mtu anajua ni kodi gani ipo kwa mbao za kutoka nje.Anayejua tafadhali anijulishe.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi ni mtumishi serikalini nimeomba mkopo katika tawi moja la boa hapa Tanzania Kanda ya Ziwa sasa nimetimiza mwezi mmoja kila nikienda loan officer dada mmoja ananijibu approve ya mkopo wako...
0 Reactions
14 Replies
10K Views
Habari zenu! A/C yangu ya CRDB imefungwa kwani nina muda mrefu kama mwaka sijaitumia kwa sababu hali ya uchumi kuyumba. Sasa, leo naenda kucheki naambiwa tu haraka haraka lete 25,000/= kwa ajili...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari wakuu! Nina wazo siku moja kwenda China au Thailand, ila nilitaka kujua hivi ukichukua mchele contena la futi 20 laweza kukugharimu bei gani hadi linafika bongo maana nimesikia kuwa wao...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Habari za humu ndani ngugu zangu! Nadhani mlio wengi mtakuwa mna ufaham kuhusu hii taasisi ya mikopo inayoitwa VIKOBA,,kuna kitu nimekiona mtandaoni kuwa unaweza kupata mkopo ndani ya dakika 55...
0 Reactions
20 Replies
19K Views
Duka la vifaa mbalimbali na vyakula vinywaji na bidhaa za ndani linauzwa hapa Tabata Sigara, lipo eneo zuri na ni kubwa kwa thaman ya shiling millioni 8 ila maelewano yapo. Kwa kujiakikishia njoo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu wana jf, naomba kwa wenye idea au uzoefu ama wanafahamu bayana wanifahamishe kuhusu hii mifuko ya pensheni. Je, ni upi wenye manufaa zaidi na usumbufu haba kwa mwajiriwa inapofika...
1 Reactions
1 Replies
958 Views
Hey guys, Below is a list of online software product ideas, feel free to do what ever you want with them.You don't have to create the next Facebook or anything to be successful kwenye mambo ya...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
https://www.youtube.com/watch?v=WghL1THVvyE
0 Reactions
0 Replies
803 Views
https://www.youtube.com/watch?v=o5BKaDCda_0
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom