Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Free Service for one year after installation and one year warranty, Sepon ltd supply and install solar equipment together with Backup system for electricity. We provide quality service to our...
0 Reactions
1 Replies
875 Views
wadau kama kuna mtaalamu wa kudesign barbershop ili iwe na mwonekano wakuvutia ani-PM
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wana JF, Nahitaji kununua Suzuki Carry truck na nimekuwa na negotiations katika Japan Trade Car View. Nimekuja hapa kupata mwongozo kwani magari mengi (4WD, cc zaidi ya 500) niliyojaribu...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Kwema??? Sina uhakika kama hii thread ni mahala pake ila nategemea wenye ujuzi na mambo haya watapatikana huku. Kuapply for copyrights au patents hapa nchini kwetu, je, ni Institution gani...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarini wana jf. Kama kichwa cha habari kinavyohusika nahitaji mtu anayeweza kudesign pamoja na kufanya lable ya product. Ni very urgently. Anayeweza naomba tuwasiliane kwa pm. Asanteni.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamii, Mimi ni kijana wa kitanzania nlikuwa nahitaji msaada wa jinsi ya kusajili project yangu endelevu kwa ajili ya vijana kujikwamua kiuchumi kutokana na mazingira...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nahitaji sehemu ya kufungua restaulant ya kwaida yenye kuhudumia watu 10 mpaka 15 vyakula vya uhakika ni wali ugali,pilau, biliani supu chai na vyakula kwa oda, ni maeneo gani mazuri kwa hapa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wadau. Msaada na mawazo, kuhusu pendekezo la maeneo ya viwanda ndani ya DSM kwa ajili ya kiwanda kidogo cha kusafisha na kupaki maji ya kopo kama mkilimanjaro, uhai n.k. Kwa ajili...
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Wana jf naamini akuna linaloshindikana humu ndani, nahitaji kuwa na blog kama njia ya kujiajiri nahiatji kujua machache toka kwenu wapendwa, tofauti na computer na access ya mtandao ni jitiada gan...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Vitu tunavyomiliki au umasikini tulionao leo ni matokeo ya jinsi tulivyo fikiri na kutenda jana. Leo ni siku ya kupata matokeo halisi ya jinsi gani kila mmoja wetu kwa wakati wake alivyoweza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu wadau kama ukiwa na Tshs 10 Million, unaweza kuitumia benki kupata mkopo? (Ikatumika kama collateral), Kama jibu litakua sio hapana, Je unaweza kupata mkopo hadi wa Tshs ngapi?... Msaada...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
jamani wana jf naomba mnisaidie kujua the best bank kwa kufungua saving account.thanks.
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Habar wadau nataka kununua heka tano tanga ili nipande miti ya mbao, msaada kwa mzoefu kuhusu mche bei gani, na baadae naweza kuuza bei gani na ni baada ya mda gani, na heka moja nitapanda miti mingp
0 Reactions
12 Replies
11K Views
naomba kujuzwa kuwa poss 4 ni Tsh ngapi?
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Ninatafuta kampuni inayotafiti madini na uchimbaji pia. Eneo lina HATIMILIKI HALALI, lipo wilaya ya TARIME na pia liko umbali wa mita 300 na eneo wanapochimba wachimbaji wadogo wa dhahabu. KWA...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Leo nimepata bahati kumsikia gavana wa benki akiongelea swala la mapato ya taifa. Nilishangaa kumsikia akiizungumzia hio habari kwa umma wa watanzania huku akitumoa fedha ya kimarekani yani dola...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimekuwa nikipitia humu JamiiForums nakuta mara nyingi watu wanakuwa wanatafuta information. Muda mwingine wanakuwa hawazipati au muda mwingine wanazipata. Nafikiria kubuild a portal ambayo...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari wadau? ninahitaji msaada kwa mtu anayejuwa mahali au mtu wake wa karibu anayeweza kuniprintia sign board ya prastic. size ni 30cmx50cm kwa muonekano inazidi kidogo kwa A4 size. nina shida...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
MKOMBOZI WA WAKULIMA APATIKANA. NI BIOPLUS ORGANIC SEAWOOD FERTILIZER. Umefika wakati kwa wakulima wa kitanzania kuachana na utumiaji wa mbolea ambazo ardhi yetu kwa kuondoa rutuba mashambani...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Jamani kiukwelii bado sijapata hela...ila hawa jamaa wanasema mtu anaweza kutengeneza pesa kwa njia ya kuwakaribisha watu watembeleee mtandao wao( how to make money, through website...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom