Wanauchumi naombeni ufafanuzi wa hili jambo.
Kwanini fedha yetu ipo hivi ukilinganisha na nchi nyingine ambazo tunazizidi kwa kila kitu,natoa mifano michache kwa kulinganisha thamani ya fedha...
Here?s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bearish
EURUSD did not move upwards or downwards significantly last week, though the outlook remains bearish. Last week was the...
Naomba wana JF mnisaidie. Kwa maana ninavyoelewa kutoa/kuangalia salio kwa ATM ukiomba risiti unakatwa Tsh kadhaa, Lakini ukingalia bila kuomba risiti haukatwi. Ila juzi nimeangalia salio...
Ofa maalum kwa mahitaji ya Business Plans pamoja na katiba za makampuni na NGOs.
Tunatoa huduma zifuatazo:
1. Tunaandika katiba za Makampuni na NGOs
2. Tunaandika Business plans za biashara...
Nipo kwenye mpango wa kununua nyumba iliyo katika ujenzi ambayo imefikia kiwango cha rental na kozi mbili tayari, ina slab za mbele na nyuma (tayari zimeshajengewa). Imebaki kufunika na finishing...
?You do not need a PhD in math or physics to be successful in the stock market, just the right knowledge, a good work ethic, and discipline.? ? Mark Minervini
Imagine. There?s someone who...
Msaada wenu waungwana,Naomba kuuliza; unagizaji wa Daladala kutoka Japan (Used) inagharimu shilling ngapi? Na je,hadi kutoa pale Bandari ya Dar-es-Salam naweza kutumia Kiasi gani?
Msaada ndugu...
Wakuu nawasalimu.
Kuna ndugu yangu hapa Dar anahitaji mkopo wa sh 3m. nilivoongea nae hana dhamana ila ajira yake inaisha tar20 this november na anategemea kupata pensheni yake baada ya wiki...
Majuzi nimetembelewa na PiPiMatch.com nimependa sana kazi wanazofanya,kwani niwatengenezaji wa software na kuziuza kwa bei muruaaaa. Nimependa zaidi offer waliotoa kwa watu wanaotaka kumiliki...
Nina miliki mgodi wa ruby uliosajiliwa ni mgodi wenye Hector 10 na mawe yake ni ya huakika ila kwa sasa nimekwama kiuendeshaji. natafuta mtu anaeweza kuingia mkataba na mm tukafanya kazi kwa...
Naombeni msaada hapa rafiki yangu kutoka ghana ananitumia laptop 2, moving camera na vitu vingine vichache vya dizaini hizo.
Nauliza ni kampuni gani reliable nimshauri aitumie kunitumia hivyo...
Wadau kama kichwa cha habari kilivyojieleza hapo, kikubwa nimevutiwa na bei ninayoisikia juu juu ya 8,000/= sasa najaribu kupata details za wapi ntaipa hiyo cement kwa hapa Dar-es-Salaam maaana...
Thinking about starting a home business? Not sure where to begin? Start your home business on a rock-solid base! Consider teaming up with us. Since 1985, we've helped tens of thousands of men and...
Habari zenu wajasiriamali,
Hivi kati ya lesseni na tini kipi kinaanza, Na lesseni inapatikana wapi na tini inapatikana wapi, au vyote vunapatikana TRA.
Here?s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bearish
This pair dropped 300 pips last week, testing the support line at 1.0700. The largest southwards movement last week...
?It is not so important to be right, but how to make money when you are right.? ? Ivan Hoff
I remember what happened at one interesting trading conference I attended about 5 months ago. It was...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.