DAR. Watu wanaotajwa kuwa wezi mtandaoni kutoka ndani na nje ya nchi, wameiba zaidi ya Dola za Marekani milioni 49 sawa na takribani Sh bilioni 150 kupitia mtandao wa benki kubwa saba nchini...
Kwa wadau wote wa biashara ya dhahabu, hasa wale waliobobea katika ununuzi na uuzaji wa dhahabu kwa wingi (Broker na Dealer). Nimekuwa nikifikiria kuanzisha biashara ya ununuzi wa dhahabu hapa...
Habari za wakati huu wakuu,
Naitwa Godfrey, nina mpango wa kuanzisha biashara ya M-Pesa nikiwa na mtaji wa takriban milioni 3. Nipo Dar es Salaam (eneo la Tegeta na Mwenge) na nimekuwa...
Unapofikiria kuanzisha biashara, hatua ya kwanza muhimu zaidi ni kusajili rasmi biashara yako. Sababu ni rahisi: bila usajili, biashara yako haina kinga ya kisheria, haiaminiki machoni pa wateja...
Wakuu, naomba kama kuna mtu anauza device za kutafisiri lugha. Mfano uko kwenye mkutano ujeruman wakiongea kijerumani wewe unakuwa unasikia kwa English.
Kwa yeyote anaeuza tuwasiliane.
Wakuu habari zenu, naomba niulize kitu.
Ni wapi au bank gani naweza kukopa zaidi ya milion 2 bila dhamana na nikalipa kwa awamu? Kwa maana siyo kila siku au kila mwezi.
Kama hali ya barabara katika eneo lenye soko la kimataifa la Kariakoo ndio hii, basi ni hatari.
Hali ikoje maeneo mengine ya ndani ndani Dar es Salaam na mikoani?
Habari ya uzima wana jamii forum
Naomba msaada juu ya mchanganuo wa kufungua library classic ya movie na series HD/4K ipoje na imekaaje soko lake kwa sasa.
1. Mahitaji kiujumla
2. Faida na...
Tunaposema kuwa deni linaongezeka kwa shilingi elfu moja kila siku na hapo hapo tunaambiwa kuwa uchumi unaongezeka je kuna unasaba gani kati kukua kiuchumi ilhali deni laongezeka? Na je ili tuseme...
Habar mimi naishi Dar nataka niombe mkopo wa million 30 kwajili ya biashara ya mahindi, nikachkue vijijini tani 32 nilete Dar kuuza kwani kwenye tani nyingi ndo faida ilipo. Mnashaurije wadau...
Boss wangu
Karbu tukutengenzee vibanda vya biashara km restaurant au pub. Tukutengenzee kwa muonekano wa kasasa kuanzia Banda Hadi viti..
Pia kwa wale mnaotaka vibanda vya juis au fremu ila...
Wajasiriamali wengi hudhani wanaweza kuendesha biashara bila leseni, lakini ukweli ni kwamba, bila nyaraka hii muhimu, wanajinyima fursa kubwa zinazoweza kukuza na kulinda biashara zao.
1...
Habari wanajamvi,
Nimekuwa nikifuatilia mijadala mingi hapa kwenye jukwaa la Biashara, Uchumi na Ujasiriamali, na nimeona kuna hamu kubwa ya kukuza biashara na kutafuta masoko mapya...
Kuna wakati unafika kwa sababu fulani unaona ubadili Jina la Biashara Yako au Kampuni yako, kwa sababu zozote zile hizi ni hatua za kufuata;
1. Sababu za kubadili Jina la Biashara
Either unafanya...
Sijawahi kusikia mwanamke mrembo kusikia akiniambia kuwa anapenda kufunguliwa duka la vifaa vya ujenzi zaidi ya kuambiwa
1.duka la nguo.
2.duka la kuuza vipodozi.
3.Mini pub.
4.Saloon.
Huu ni...
Kwa wale Mawakala wa Mitandao ya simu wanaotumia Lipa Namba bilashaka watakuwa wamekumbana na kashkashi za matishio ya Mitandao ya simu kuhusu . Kwa sasa mawakala kwa asilimia kubwa wamekuwa...