Habari wana JF, nitangulize salamu zangu za Kheli ya mwaka mpya kwenu nyote.
Kama ilivyo ada kuanza mwaka na malengo mbalimbali ya kimaisha hasa katika eneo la uchumi, hivyo nikajipa assignment...
Wanajukwa naomba mnisaidie kuhusu mkopo wa jiwezeshe uliotangazwa na stanbicbank wiki hii maana kila nikijitahidi kuitafuta huduma hiyo kwenye app yao siioni lakini walitangaza kuwa ipo mkopo...
Habari wanajikwaa
Nimekua mfanya biashara mdogo katika halmashauri ya manispaa ya TEMEKE na changamoto ni kua wanakuja kuchukua ushuru kila siku sokoni lakini swali la kujiuliza mbona ushuru huu...
maboss zangu wale wenye pub,grosar, cafe, migahawa ya chakula..
nipeni oda niwatengenezee viti imara na vyenye muonekano mzur sana..
Nipo dar mbagala ila ad mikoani tunaenda kufanya kaz.
Karibu...
Kwa sasa ajira ni Changamoto nawashauri vijana wasiogope kuanzisha hata biashara ndogondogo muhimu uwe na malengo tu
Kwa wale ambao wanatamani kufanya biashara ya mtumba ninatoa ushauri...
Wakuu
Tunatengeneza furniture aina zote
Showcase za kujengea na zakuhamishika.
Makabati ya kujengea na yakawaida.
Kitchen cabinets za kujengea na zakuhamishika.
Pia tunatengeneza vibanda vya...
Habari zenu wakuuu.
Nimepata pesa kiasi kadhaa ila nafikiria kufungua biashara ya play station. Ila huwa nafuatiliaga sana mitandaonj kuna vitu huwa naviona vinanikatisha tamaa kuanza hii...
Jinsi ya Kutangaza Biashara Yako
Kama mfanyabiashara, unataka watu wajue biashara yako ipo, inafanya nini, na kwa nini wanapaswa kukuchagua wewe badala ya wengine.
Tatizo kubwa linalowakumba...
Kalenda ya minada ya dhamana za serikali ni ratiba rasmi inayotolewa na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) ikionesha tarehe na aina ya minada ya dhamana za serikali zitakazofanyika kwa kipindi fulani...
Heshima kwenu wadau wa jukwaa hili,kwa muda nimekuwa nikifuatilia biashara hii ya mitumba haswa viatu na sasa nataka kuingia.Naomba mwenye ujuzi wa namna ya upatikanaji wake na bei kwa mabalo,vya...
Habarini wana JF, nitangulize shukrani za dhati kwenu wote.
Nahitaji kuanza maisha yangu mjini Kahama. Natambua kuna wazoefu na wenyeji wanaoijua vizuri. Nina mtaji mdogo tu wa milioni moja.
Je...
Biashara yeyote duniani ikianzishwa watu wenye biashara huanzisha ushindani wa kutafuta wateja.
Tanzania ni nchi pekee duniani ambapo watu hushindana kujenga fremu za biashara lakini hawashindani...
Hili dude kila mara napoliona hapo kwenye karakana ya mameli,naona kabisa hii ni hasara nyingine baada ya likichwa limoja kufanya maamuzi ya kutumia pesa za watanzania
Kidogo angekuwepo yeye...
1. Je, wanajiwekea tu?
2. Au wanapewa na BoT
3. Ikiwa BoT ndio wanatoa hizi rates, serikali haioni umuhimu wa kupunguza hizo riba.
Karibuni Kwa mjadala GTs
Jinsi ya kusajili biashara yako ya Mtandaoni (Online Business)
Naamini unajua kwa nini ni muhimu kusajili biashara yako na faida unazoweza kupata baada ya kufanya hivyo. Usajili wa biashara ni...
Natoa offa bure ya usimamizi wa Mitandao ya kijamii ndani ya wiki 2 , mitandao ni mitatu Facebook, Instagram na TikTok.... Offa hii nitakutengenezea video(1) ukihitaji ya bidhaa au huduma na...
WhatsApp imekuwa moja ya sehemu muhimu zaidi ya kuuza bidhaa na huduma zako moja kwa moja kwa mteja. Wengi wanaitumia kwa mawasiliano ya kawaida, lakini wachache wanaitumia kuuza kwa mkakati. Hapa...