JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Nahitaji Control box ya Nissan Vannete N200 ya mwaka 2010. Nimeambatanisha picha. Nifahamishe bei.
1 Reactions
10 Replies
474 Views
Wengi wetu utasikia ile gari inakimbia sana, ni kweli gari lazima kukimbia ila ushawai kujiuliza mnaweza kuwa spidi sawa ila ukashangaa anakupita bila kutegemea. Utengenezaji wa magari kuna vitu...
8 Reactions
173 Replies
11K Views
Wakuu habari za majukumu.. Tafadhar rejea kichwa cha habari naomba msaada wa kujuzwa wapi naweza kupata Tank la pkpk Boxer Bm100.. Napatikana Dodoma
0 Reactions
3 Replies
500 Views
Hello JF members! Je inawezekana kupata Toyota Raum DS....and above Kwa Tsh. 7,000,000? Location: Mwanza . Mwongozo wenu tafadhali.🙏
3 Reactions
16 Replies
923 Views
Tuchanuane. What are the disadvantages of these solid tyres compared to pneumatic ones. Kama haujui pia sema tu haujui.
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Wadau hizi gari unaweza kupata kwa bei gani kuanzia mwaka 2002 mpaka 2007. Nimewahi kusikia kwamba unaweza kupata kwa bei nzuri kwenye auctions za NGOs ama Serikalini. Mwenye kujua naomba info...
6 Reactions
23 Replies
3K Views
Habar za mida hii, fika mmechoka toka mihangaikoni lakin pia polen kwa mgao wa umeme unaoendelea. Kama hapo juu mada inavyokieleza naomba kufaham, umuhimu wa CAR SECURITY SYSTEM, UBORA NA...
0 Reactions
1 Replies
430 Views
Wakuu ninaomba kuzifahamu kiundani hizi gari aina ya Toyota hybrid C-HR. Hasa kwa mazingira yetu ya Kitanzania inaweza stahimili? Ubora wake, na matatizo yake
2 Reactions
14 Replies
977 Views
Salaam niliwahi kuomba kupewa sifa na tabia za gari la Subaru Impreza ila sikupata majibu, narudi tena humu wale wajuvi wa vyombo hivi vya moto kati ya Subaru Impreza na Premo ni nijue gari gani...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Nataka kufahamu hasa kuhusu hizi Bajaj za Piaggio, kuhusu bei zake, gharama yake na matengenezo.
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu nataka nijilipue niagize huu mzigo. Kwa yeyote anaefahamu changamoto za hizi gari tushauriane hapa nisije ingia cha kike. Karibuni. [emoji120]
0 Reactions
1 Replies
363 Views
Wajuvi wa mambo, Nipeni udambu juu ya hizo gari 2, okoeni ndoa yangu maana shemeji yenu akizimikiwa gari njiani atadai talaka. akikwama topeni ndio kabisa. kwa ufupi wife hapendi vigari sampuri...
6 Reactions
41 Replies
7K Views
Basi gani umewahi kupanda na ukajutia safari yako.
10 Reactions
730 Replies
41K Views
Eeh.. ndio, wana wa Israel walitembea miaka 40 kutoka Misri hadi kufika nchi ya ahadi, sasa mimi na wewe tuna miaka arobaini tunatembea tu kwa miguu mpaka sasa na nchi ya ahadi bado hatujafika...
7 Reactions
5 Replies
519 Views
Weka pembeni mambo ya movies, haya mambo ya mauza uza yapo kitambo, yapo hata katika biblia na kuran na tumeonywa tusiyachukulie poa. Sio stori ni vitu real hivi, upo zako kwenye safari mara...
11 Reactions
68 Replies
6K Views
Nimefungiwa rear camera kwenye gari yangu. Nami kwa kutokujua, niliondoka bila kujua kuwa huwa zinaonesha mistari miwili ambayo ni mpaka wa kitu kilicho katikati ya barabara. Inanipa shida, kwani...
1 Reactions
9 Replies
808 Views
Watu wengi tumekuwa tukijiuliza kuhusu ndege zenye mfumo wa injini ya jet. Katika mada nilizozitoa nilieleza kuhusu aina za injini zinatumika kwenye ndege. Mfumo wa injini ya jet ni tofauti...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nina rims ambazo zilikuwa silver wakapiga rangi nyeusi flan hivi haijakolea. But inabanduka hata kwa maji ya presha.. Nataka kurudia kupiga rangu rims napenda ziwe nyeusi. Wapi naweza pata...
0 Reactions
8 Replies
797 Views
Anataka kubadili gearbox ATF. Automatic Trans. Fluid. Gari ni Toyota Rumion ya Mwaka 2008. Ya CC 1800 Anasema anahitaji ile yenyewe kabisa yenye ubora halisi. Haijalishi bei anataka kitu bora...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimekuta wadau wa magari wanabishana kuhusu ubora wa hizi gari pendwa za off road aka gari za pori. Nani mkali kuanzia Bei ikiwa mpya Au used, Maintenance, resale value nk. Binafsi naona LC...
5 Reactions
44 Replies
3K Views
Back
Top Bottom