JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Kuna mtu anauza Terios Daihatsu 1999 2m, anasema changamoto ni gearbox, Tafadhali kwa wazoefu wa hii gari Terios Daihatsu. Naombeni msaada hasa uimara na ulajiwake wa mafuta
1 Reactions
3 Replies
535 Views
Wadau, naomba kujua, kwanini toyota raum 1490cc watu hawazichangamkii sana? zina madhaifu gani? Vipi kuhusu 1. Uimara na uvumilivu rafu rodi 2. Ulaji wa mafuta 3. Upatikanaji na bei ya spare...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Tunauza engine used za boti aina ya Mercury Outboard 2-Stroke zenye 40horse power. Engine hizi zina 697cc ni inline 3 cylinder, zinatumia petrol na 2 stroke oil ,uwashaji wake ni wa kuvuta kick...
0 Reactions
0 Replies
762 Views
Wadau nilikuwa naomba kufahamishwa hizi gari aina Mitsubishi kuhusu upatikanaji wa spare, gharama zake generally . Nimetokea kuzipenda Mitsubishi RVR na Outlander. Sasa isije kuwa ndio kama...
4 Reactions
21 Replies
6K Views
Nimekutana na hii gari mtandaoni bei mil 37, nimeipenda kwa muonekano, kwa mwenye uzoefu wa hii gari naomba aichambue kidogo. Inaitwa Toyota Hilux Surf, wasiwasi wangu ni mbona sizioni sana...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari naomba kuuliza mwenye kujua naweza pata wap hicho kifaa ni Kwa ajili ya kufunga na kufungua mlango wa buti la nyuma kwa ajili ya gari aina ya Alphard
1 Reactions
1 Replies
343 Views
Habari za mapumziko waungwana! Ningependa kujua utumiaji wa mafuta wa gari tajwa hapo juu, Toyota harrier! Najua watu wanaiponda sana katika utumiaji wake kwa sababu ya ukubwa wa injini! Sasa...
0 Reactions
122 Replies
62K Views
Wadau habari za kazi Naomba kujua kati ya Toyota vanguard, Toyota Harrier na Toyota Kluger ni ipi ambayo mtu akiwa nayo haitamsumbua sana? Natanguliza shukrani.
1 Reactions
29 Replies
10K Views
Msaada wakuu,nataka ninunue gari used iliyosajiliwa zanzibar,ije bara,ya mwaka 2004,cc 1490,bei mil 5,,ushuru tra sh ngapi,na usafirishaji sh ngapi,mpaka naanza kutumia dar baada ya kusajili..
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Ningependa kupata advice/maoni kuhusu uzuri/ubaya/matatiza za Audi Q3 na Audi Q5.
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari wakuu! Naomba msaada wa wapi naweza kupata hi coolant?
0 Reactions
36 Replies
2K Views
Kwa mafundi magari wote, mafundi mnaniangusha, kwa nini mko nyuma sana hasa kwenye urekebishaji wa hizi gari za mkoloni?, nyie kila siku ni japanese tu,ndugu zangu dunia ipo kasi sana. Nitolee...
16 Reactions
36 Replies
3K Views
Nimeona kwenye group moja la Telegram mdau anauliza hili swali. Tumeshindwa kujibu. Wadau nani amewahi enda Dodoma kwa IST toka Dar? Alitumia mafuta ya tsh ngapi au lita ngapi? Au *Nani...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Ndugu zangu naomba tujadili umuhimu wa kuwa na driving licence kwa watu ambao wanamiliki gari binafsi na zisizo za kibiashara. Je, kwanini isiwe kwa madereva wanaoendesha gari za biashara kama...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Je upepo wa tairi wafaa kuwa sawa mbele na nyuma? Na je niqeka upepo mf nyuma 50 na mvele 40 kutakuwa na madhara gani na nini faida ya kuweka upepo sawa? Natanliza shukrani kwa watakaochangia
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Awali ya yote niwashukru nyote wanajukwaa hili kwa msaada wenu mkubwa wa kuelimisha kuhusu magari hasa sisi tusio wazoefu. Baada ya utafiti kupitia humu kama miezi 6 hivi nimeamua nichukue...
17 Reactions
82 Replies
10K Views
. Rav 4 hii ni generation ya 3 kwa Rav 4 ambayo ina generation 5, Rav 4 Miss Tz Coded XA Imeanza 2005-2012. Na naweza sema ni moya ya gari ambayo imefanikiwa kuwapa watu feeling kama...
10 Reactions
7 Replies
5K Views
Wadau Nataka kununua pikipiki Aina ya Honda Ace 125 individual made in South Africa. Bei yake ya ofa 2,600,000/= mpya. Je, kuna pikipiki nzuri zaidi ya hii ambayo bajeti take haivuki milioni...
4 Reactions
25 Replies
5K Views
Hadau, Nauliza ni gari gani ya Nissan unawwza weka engine ya toyota.Kuna mtu kaniambia X trail unaweza weka engine ya Toyota. Naombeni ushauri mafundi
0 Reactions
9 Replies
968 Views
Back
Top Bottom