Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Nina mchumba wangu anatatizo la kukosa kabisa hamu ya tendo ni mwaka sasa tangu awe hivyo na hata akijitahidi hapati kabisa ute hivyo anakuwa mkavu kabisa. Tafadhali anayejua suruhisho hili...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
  • Redirect
Vidonda vya Tumbo (PEPTIC ULCERS) VIDONDA VYA TUMBO (PEPTIC ULCERS DISEASE) Habari za siku mpenzi msomaji wa blog hii, ni matumaini yangu unaendelea vizuri na kufurahia blog yangu iwapo una...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
TASLY MISS BEE PROPOLIS SYRUP Ni dawa inayotokana na nta ya nyuki ni pure natural haina kemikali wala madhara kwa mwanadamu Inasaidia watu wenye matatizo yafuatayo: 1. Mwenye vidonda vya tumbo...
0 Reactions
Replies
Views
Habari zenu, Mimi ni kijana wa miaka 26, ninatatizo la sexual performance anxiety, nilienda kupima sexual hormonies nikakuta ziko vizuri, na pia nimepima matatizo yote yanayoendana na hali ya...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
X-power man ni lishe nzur kutoka bf Suma company inarutubisha uume na kumfanya mtu awe imara na mwenye nguvu wakati wa tendo,lishe hii inawafaa zaidi watu wenye KISUKARI na haina side effects...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
  • Redirect
Habari wana JF, Kama mada inavyoxema hapo. Mimi ni mtoto wa miaka 15 nasumbuliwa na meno hasa ya nyuma upande wa chini yametoboka yakianza kuuma inakuwa ishu. Msaada kwa anayejua dawa/matibabu...
0 Reactions
Replies
Views
Heshima yenu. Nilikuwa nasumbuliwa na tatizo la kula chakula kidogo sana, kitu hiki kilikuwa kinafanya nijione sio wa kawaida, kwani ilikuwa hata chips siwezi kumaliza, ugali lile tonge moja la...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Unatanguliza shukrani wana jamvi wenzangu. Leo nimekuja mbele yenu nahitaji msaada kwa anayefahamu doctor mzuri wa ngozi, mwanangu katokewa na mapele flani maeneo ya machoni ambayo nadhani ni...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
  • Redirect
Ni siku ya nne sasa nakosa raha kabisa kutokana na muwasho mkali naoupata katika sehemu zangu za siri baada ya kunyoa nywele (mavu**i). Naomba kama ushauri nifanyaje kuondokana na muwasho huu.
0 Reactions
Replies
Views
Je vyakula gani vinaweza kutibu tatizo la lowsperm na homon imbalance?
1 Reactions
3 Replies
2K Views
High Cholesterol? Try To Avoid These 10 Foods! High cholesterol and heart disease are serious concerns for many people, and as much as we’d love to continue our teenage habits of eating anything...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
28 Surprising Uses of Coconut Oil for Personal Hygiene You don’t need those personal care products containing high amounts of chemicals. You should be replacing them with coconut oil. You don’t...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakubwa shikamooni, wadogo habari zenu! Mimi ni binti wa miaka 24, nilijifungua kwa operation mwaka jana mwezi wa pili tarehe 12. Kwakuwa ngozi yangu laini na mshono unanisumbua, dokta...
0 Reactions
58 Replies
9K Views
Nini madhara ya mustabation kwa mwanaume? Naomba kujua
0 Reactions
10 Replies
4K Views
  • Redirect
Baada ya mjadala wa jana bungeni juu ya matumizi ya "Bangi na mirungi" ulioibuliwa na Mbunge wa Geita Vijiini Joseph Kasheku Musukuma, nilimtafuta daktari Chriss Cyrilo (MD) aeleze kama bangi ina...
2 Reactions
Replies
Views
Cancer can affect everyone – the young and old, including children. It is one of the leading causes of death in the world, where about 70% of all cancer deaths occur in low- and middle-income...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Redirect
wakubwa shikamooni, wadogo habari zenu! mimi ni binti wa miaka 24, nilijifungua kwa operation mwaka jana mwezi wa pili tarehe 12. kwakuwa ngozi yangu laini na mshono unanisumbua, dokta alinishauri...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Kanda ya ziwa kinara kwa maambukizi ya kichocho TUESDAY , 2ND FEB , 2016 Mikoa ya Kanda ya Ziwa imetajwa kuwa na kiwango cha juu cha maambuki ya ugonwa wa kichocho yanayofikia kiasi cha asilimia...
0 Reactions
Replies
Views
Your Body is Acidic. Here is what you NEED to Do A well-balance diet is essential maintaining a pH balance in the body. PH balance refers to the acid or alkaline values of all fluids and cells in...
0 Reactions
1 Replies
845 Views
  • Redirect
JE WAFAHAMU FAIDA ZA KUTUMIA MMEA WA ASILI AINA YA GINKA BILOBA? NI miti mirefu ambayo haiwezi kushambuliwa na magonjwa yoyote. Hufanya kazi ya kuondoa mafuta mabaya kwenye sehemu...
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom