john asenga
New Member
- Mar 29, 2014
- 1
- 0
Nini madhara ya mustabation kwa mwanaume? Naomba kujua
Mkuu hukuwa na mfano mwingine isipokuwa mwananyamalaMadhara yake ni upungufu wa. Nguvu za Kiume acha mara moja ni sumu kuliko bangi wanazotumia mateja wa mwananyamala.
Madhara ya Musturbation yalishajadiliwa sana hapa jamvini tena kwa kirefu na ni zaidi ya mara moja search hizo threads utapata mkuu.Nini madhara ya mustabation kwa mwanaume? Naomba kujua
Mkuu wewe una sifa zote za kua mwenyekiti wa kudumu wa chaputa.Nina mwaka wa tisa sijui nyapu ni nini nyeto na mimi mimi na nyeto na sijaona madhara yoyote wala sijawahi kuwaza kupima gonjwa lolote la zinaa