JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
A pastor was praying for a demon-possessed man. He said, in the name of Jesus, what do u want frm this Man? speak up before I cast u out this moment! The demon in the man said, I want him to win...
1 Reactions
5 Replies
963 Views
kuna yeyote humu yuko mogadishu?
0 Reactions
5 Replies
755 Views
Wakuu saidieni kuclear my six doubts. Kichwa kimeniuma nahitaji msaada wenu. 1. If all Nations in the world are in debt, where did the money go? 2. Why people say they have been working like...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sijui nini kinachotufanya tule ugali na wali kila siku utasema tumepangiwa na serikali [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
1 Reactions
15 Replies
6K Views
  • Closed
Leo tutakuwa na LE MUTUZ, W. L. Malecela. Mkuu ,heshima kwako, nikukaribishe katika interview fupi ya Jamii forum. Wadau mnakaribishwa kuuliza maswali, ila nina maswali machache kwake. 1:le...
1 Reactions
40 Replies
7K Views
TUKIACHA UHAKIKI VYETI, HUU HAPA NI UHAKIKI KAZI. Hapo kale kuna kijana alifika kwenye kibanda cha simu, baada ya kulipia huduma alikwenda kwenye chumba maalum na kupiga simu. Mmiliki wa kibanda...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Nadhani alikuja na Lori ili afanye usafi ndani mwangu kwa sababu sijawahi kuona maishani mwangu usafi wa namna hii. Wizi gani huu unaiba mpaka vyeti vya shule? Mwizi gani huyu anaiba mpaka...
3 Reactions
49 Replies
4K Views
Kipindi nilipokuwa nasoma shule ya msingi tulikuwa na mtindo wa kukariri methali nyingi na ngumu halafu tunakuwa tunatambiana kwa kuulizana halafu mwingine anakamilisha. Sasa ilizuka utani wa...
0 Reactions
39 Replies
11K Views
Hii ni changamoto inayotukumba vijana wengi sasa mfano mimi nipo kwenye uchumba sugu for 5 years na bado tunasomana namba. Wife material wamekuwa adimu kama sarafu ya 500.
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Nimempigia simu demu wangu akapokea bwana ake mwingine na kuanza kunihoji"wewe ni nani wampigia mpenzi wangu simu??? Nikamjibu"Sorry mimi ni doctor mpenzi wako alinambiaga niwe namkumbusha kumeza...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Mambo-ya-Pesa *Kuna dem mmoja kaja home kaniomba pesa nikamwambia sina cash labda bank au M pesa akanambia hapo barabarani kuna wakala twende tukatoe, wakati tunatoka nikamtext mshikaji wangu...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Aliyeniumba alinipa mdomo hivo nna haki ya kuongea... Hawaamini kwenye kuunda KIBA au DIAMOND wawili, wanachoamini ni kumshusha mmoja ili mmoja awe dili Usipostuka Afrika unaweza kuzikwa ukiwa...
5 Reactions
62 Replies
7K Views
NIMEPATIKANA LEO. NIMEMPA LIFT DEMU WA KIPEMBA KWENYE HIKI KIPIKIPIKI CHANGU. BASI TUNAONGEA ONGEA MARA AKASEMA "NTOMBELEYO" NIKAJIDAI BORA TUFANYE KESHO BANA. AKASEMA TENA "NTOMBELEYO" MIMI...
18 Reactions
48 Replies
8K Views
*MITOMINGI*; nadhani sasa mgeni amekwisha kumaliza kula hebu nenda kaondoe vyombo *MAMA_MAZOEA*; Basi fanya haraka (Mazoea anatoka, anaenda kwa Ngoswe alipo). *MAZOEA*; Hodi! Hodi! *NGOSWE*...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Imagine wewe ni mgonjwa wa JF haipiti nususaa umeingia, umechangia ama kwa kulike[emoji106], au kudiss[emoji107] au la kuchangia lolote kama si kuweka post mpya kwa njia ya BREAKING NEWS au NEWS...
7 Reactions
52 Replies
4K Views
Namtafuta Linda Byaba. Mara ya mwisho tulikutana East London, South Africa 2010. Kwa Dar aliniambia kwao Kimara. Kama upo humu njoo PM
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Kwa sasa neno "kibamia" wala halihitaji definition kwani limekuwa maarufu sana ila mimi kama Critical thinker nimejaribu kufanya rearch kwa kutumia source mbalimbali ikiwemo interviews, social...
0 Reactions
8 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…