JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wakuu Leo nilikuwa na laki moja na elfu 47,nimeiteketeza yote.kivipi?kihivi! Leo nilikua nakunywa pombe za kistaarabu heinikeni nikanywa vingi tu kwenye grocery fulani sasa nimewakuta mademu...
5 Reactions
24 Replies
3K Views
Heshima mbele wakuu. Tumeshuhudia mara nyingi, watoto hurithi kazi za wazazi wao. Kama baba alikuwa mwimbaji mtoto nae anakuwa mwimbaji, kama mama alikuwa muigizaji mtoto nae anakuwa muigizaji...
12 Reactions
122 Replies
3K Views
Leo katika pitapita zangu mitandaoni mana kipindi hiki bwana ukikosa bando Bora ukose mke au mume ila sio Bando. Dakika kumi kuzima data ni nyingi ukiwasha ni kama miaka mitano imekupita...
4 Reactions
7 Replies
373 Views
Guys me and ke je ni aibu gani ishawai kukuta wakati wa mechi ukavunga tu ila uliona aibu yaani kifupi ni tukio lilokupa aibu je ni lipi? Mimi nilikuwa sijui matumiz ya shanga manzi ndio...
12 Reactions
231 Replies
8K Views
Tumekumiss sana nduguzo. Hivi ukiwa Marekani ndio unaacha kabisa kutumia JF? Msalimie sana shemeji yetu Malia Obama
7 Reactions
36 Replies
2K Views
Ukisikia kazini Kuna kazi ndiyo hii Sasa πŸ‘‡ Kamanda akipiga doria.
6 Reactions
9 Replies
483 Views
Wazee sijui ni mimi ndo nimekua konkodi kiasi kwamba pombe zinadunda au vipi? Kuna hii pombe ina ladha ya whiskey inaitwa captain Morgan. Wahusika wanajitahidi sana kuipromote but sioni kama...
0 Reactions
12 Replies
919 Views
Hii dunia ina watu wa ajabu Sana. Huyu rafiki yangu ana asili ya Mbulu na anaishi Bunju ambako ana mke na watoto wawili. Last week alinipigia simu mida ya saa kumi na mbili jioni kuwa anataka...
10 Reactions
29 Replies
1K Views
Kama nilivyoanza story yangu leo tarehe 17/06/2025 nimefikisha miaka miwili kabisa yakutumia usafiri wa mwendokasi( BRT ) kama usafiri wangu kwenda na kurudi kazini kila iitwapo leo. Sasa basi...
3 Reactions
9 Replies
381 Views
Ni kinywaji kutoka south 🌍 basi ndoo imekuwa hbr ya mjini hapa jiji dodoma kwani bila kumunulia mwanamke hicho kinywaji unaweza kukuacha na kutafuta danga jipya mwenye uwezo thabiti na madhubuti...
6 Reactions
32 Replies
3K Views
πŸ˜„ "Miaka 60+ ya uhuru bado tunajadili barabara, maji na umeme, halafu wewe una miaka hiyo hiyo 60+ unalalama tu😈😈. Basi tuambie, kati ya Taifa na tumbo lako, nani aliyefanya uzembe? Au ulikuwa...
0 Reactions
0 Replies
167 Views
Kwema wakuu, natumaini siku imekuwa poa kwenu. Alright, tiririka ni harufu (scent/smell) ya kitu gani unaipenda zaidi? Copy to: secretarybird | Binti Sayuni03 To yeye | Joanah | dosho12 Lax |...
16 Reactions
241 Replies
6K Views
Kwanza niwasalimie ,shikamooni Wadogo zangu,marhaba. Jamani ,nimewamiss Sana,Maria miye,nishaanza kuzoea huu mtandao, nilichogundua,huku ni wachache na ni rahisi watu kuchat kama familia, Namiss...
5 Reactions
30 Replies
893 Views
Tufahamishane jamani, sijawahi kusikia mtu mzima au wa makamo anaitwa Kelvin, kwani wenye haya majina hawakui?
5 Reactions
39 Replies
1K Views
Israeli huwa hawabahatishi katika Target zao Kudadadeki. Sasa kama huyo Mtangazaji Mwanamama wa Televisheni ya Taifa Iran alikuwa anajifanya Kutangaza kwa Kujiamini na Kutoogopa nini kilimfanya...
0 Reactions
0 Replies
282 Views
Natamani nami siku moja niweze kuhudhuria kikao cha G7, imekuwa ni ndoto yangu ya siku nyingi sana tangu nikiwa mdogo; sasa sijui itabaki kuwa ndoto tu au ipo siku nami nitashiriki? Wananzengo...
1 Reactions
0 Replies
209 Views
Majina yenye maana nzuri na yanavutia sio ilimradi. Majina kama kgani, sijui yakwenye movie hapana. Ni msaada wenye masharti
3 Reactions
64 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…