Hivi hawa wadada Ambao hawana pete kwenye vidole vyao lakin wameweka puani ndo tuseme wanavuta harufu ya ndoa au?????*
*Mimi nauliza tu..*[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
nanukuu................."wowowo............zawadi ya kudumu ni kubarikiwa wowowo,hata ujirembe vipi, sisi tuna tizama wowowooo, sura hata mbuzi anayo ila sasa wowooooo,"huyu msanii hi nyimbo yake...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu
Ilikuwa ni siku ya mnada jumamos huko sima sengelema mwanza tanzania
Mchezo ulianza kama utan lakin ilikuwa...
Jaman Raimundo popote ulipo njoooo
Pamoja na yote bt jamaa yuko vizuri kichwani ana akil sana ,busara na ana akili sana kichwani....mpaka maswaibu yanamkuta alikua ananishauri vuzur sana sasa...
Aman ya bwana iwe nanyi wapendwa katika bwana
Leo nilitoka home asubuhi sana kuna sehemu nilikuwa na promise zangu za hapa na pale na watu wa hapa na pale
Sasa kuna muda fulani njaa ikaniuma...
Kama kichwa kinavyojieleza
Ni kawaida kutokea katika mawindo yetu Yale..
Mi nilipigwa booonge la kibuti afu mtoto alikua maji ya kilimanjaro mixer u-beyonce mwingi...gucci d&g , izo ni ka kumiliki...
*2018:* Knock! knock!! knock!!!
*2017:* Yes who is that?
*2018:* It's me 2018
*2017:* What can i do for you?
*2018:* I have come to remind u something
*2017:* What is that?
*2018:* I have come to...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyo jieleza hapo juu
Piga cm inch yeyote ile
Piga cm kwa mtu yeyote yule piga cm hata kama ni kwa rais au hata kama ni kwa dk...
Huu sijui ni utani au ni ubishi tu na yeye aonekane kachangia sijui lakini.
Humu ndani kuna watu wanajifanya hawajui uovu kabisa ama hawajui tafsiri ya neno dhambi.
Hata kama ni kujidai siyo kwa...
Kwanza nieleweke nia sio kuwavunjia heshima ila nikuwaweka sawa pindi wanapotunyoshea vidole juu ya maadili yetu na wao wajiangalie makosa yao.
Wazee wamekuwa wakitulalamikia vijana wa Leo kwamba...
Tuko chuo na wote ni mwaka wa kwanza.ukwel nampenda sana.ila yuko serious muda wote.nilimwomba namba kanipa ila kuna limjamaa lina msomesha tena pemben yang tu .nipen mbinu naoa nikipata huyu...
Habari wana JF wenzangu, Mungu awajalie neema ya uzima.....
Imenibidi nilete uzi huu humu ndani maana ndio eneo la pekee la ku-free up brain....
Imezoeleka, kwa wanawake hasa walio kwenye...
Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana,
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu,
Lilikuwa ni jeneza la mama mmoja ambaye alikuwa ni mama ntilie lakini alikuwa tajiri sana akiwa anamiliki...