HABARI NJEMA KWA WATU WANGU WA NGUVU NIPO DAR BAADA YA KUTEMBELEA TANGA NA MOMBASA SASA NIMELEJEA.NINAWALETEA
Vumbi vumbi vumbiiii Vumbi la Congo, kitu vumbi la congo wajanja hawajutii Hii ni Dawa...
Naanza safari mida hii nikitokea Msata kilingeni... Nina ishu ya kufanya hapo bandarini mpaka saa nne takuwa nimemaliza
Kwa heshima kuu nitaomba mrembo aliye tayari tuonane japo kwa kinywaji na...
Jumatatu imeanza kwa kuwa ubusy kama kawaida yake. wazungu anaita "Blue Monday" nimefika mapema ofisini kuepuka foleni nikiwa parking nimetulia anakuja mfanyakazi mwenzangu na mdogo wangu pia jina...
"Pole pole" ni neno lenye mkanganyiko sana kimaana na hasa zaidi katika matokeo yake, mfano kama ni chombo cha moto/kiumbe hai huwezi jua kinasimama, kinazima au kinakwenda mbele, kinakata kona...
Serikali ipo wapi? Watu tunashindwa kulala. Watu tunashndwa kufanya kazi zetu kwa amani. Hali imekuwa mbaya sana. Na inashangaza rais anasafiri anatuacha katika hali hii. Hatujui hili suala...
Wazima humu!!!!
Jana nilipita maeneo ya soko kuu la Mwanza mjini nikashuhudia wamama wawili wauza ndizi za kupika wakijiponza wenyewe hadi kutiwa nguvuni.
Akina mama hao wauza ndizi za kupika...
Habari wadau, kumekuwa na wimbi kubwa la watu kukimbilia nchini Afrika Kusini. Hivi nini hasa wanachoenda kufanya huko kwa maana ya shughuli za kuwafanya wayamudu maisha ya huko?
Hivi majuzi tulishuhudia wabunge na baraza la wawakilishi Zanzibar likikosoa kauli ya Waziri wa sheria jamuhuri ya muungano wa Tanzania Prof Palamagamba Kibudi kuhusu tamko la raisi wa Jamuhuri...
Kabla ya kuamini jambo jaribu kulitafiti japo kidogo kwa kuulizauliza ili upate uhakika,hii aliitumia mfalme wa uyahudi ili kujua wapi amezaliwa Yesu. Kama huna wa kuuliza au hupendi basi soma...
Huyu trafik alinisimamisha siku moja wknd jpili nilikua naenda msamvu,nilihofu kiasi kwasababu sikua na lesen niliisahau home
akakagua vya kukagua na vimaswal vya hapa napale,triangle,bima,etc...
Moja kati ya watu walionivutia sana kipindi najiunga jamii forum ni huyu anayejiita mshana jr, nilizoea kumkuta kule jamii inteligence na great thinkers akiwa na mada za kuumiza kichwa,kufikirisha...
Uzalendo na nchi yako upo wa aina nyingi, lakini kwa uzalendo wa kukataa dharau na kudharaulika zinazoonyeshwa na nchi jirani na chuki zisizo na msingi nyie makamanda wangu na wengine niliowasahau...
Habarini wanajf.
Jana jioni nilithibitisha kuwa misemo, semi na methali za wahenga zina beba maana nzuri.
Story iko hivi, mtaani kwetu kuna kaka tunaishi naye, wao ndio wazawa wa huo mtaa...
Mpo wanaJF.
Leo nina kero kubwa sana kutoka kwa mama mchungaji yule.
Tuna kikundi cha wanawake mtaani kwetu cha kusaidiana katika mazuri na mabaya na pia tunakopeshana japo hatuna kibali rasmi...
Huwa kuna mambo napenda kuwakumbusha vijana wenzangu ili wao pia wasije kutwa na dhahma nazokutana nazo. Mwaka juzi tu mwezi January nilikuwa nimeenda kumpokea mama akiwa ametoka mkoani kuhudhuria...
Nipo kwenye simanzi kubwa kwa takriban wiki 2 sasa familia ya mke imenitenga ,mke kanikimbia na baadhi ya ndugu zangu wamenitenga wakidai nimewaaibisha.
Siku ya tarehe 29 January mke wangu...