Melvin 16
JF-Expert Member
- Mar 18, 2012
- 483
- 500
Uzalendo na nchi yako upo wa aina nyingi, lakini kwa uzalendo wa kukataa dharau na kudharaulika zinazoonyeshwa na nchi jirani na chuki zisizo na msingi nyie makamanda wangu na wengine niliowasahau nawapa mia kwa mia, kwani vita vipo vya aina nyingi hii pia ni vita ya heshima na nchi. tayari number wameanza kuisoma. Hata ikitokea vita ya aina yoyote nitakuwa na furaha kuvaa mangwanda na kupambana pamoja na nyie makamanda wangu mpaka dakika ya mwisho. I'm so proud of you all huwa mnanipa raha sana Kwani hakuna kitu kibaya kama dharau juu ya Taifa letu. Nina furaha huku najua jirani analia nikiangalia bomba la mafuta Uganda wamechagua Tanga done deal, daraja la kigamboni done deal,tazara flyover ngoma imeanza, raha sana kuwa Mtanzania. Bila kumsahau mkuu Annael.