Wengi wetu tulikuwa tunamchukulia Kiranga kama mtu asiyependa dini lakini kupitia mjadala aliourudisha juzi Deadbody na badae mods wakafanya yao kuunga na thread ya RGforever nimeweza kuelewa...
WOMAN
● changes her name
● changes her home
● leaves her family
● moves in with you
● builds a home with you
● gets pregnant for you
● pregnancy changes her body
● she gets fat
● almost...
Type O "Hot"
Population
Roughly 38% of the world is O +ve and 6% O -ve.
Traits
Confident and Strong-Willed, Proud, Dedicated, Sociable, Energetic, Extroverted, Frank, Realist, Showy, Flighty...
Ndugu sangu tumekucha hapa maarum kwa chambo mocha tu. mama Rhobi amefirwa na kaka yake usiku wa kuamkia reo. Chambo ra kufirwa si ra mcheso, na sio ra mtu mmocha,reo kafirwa mama Rhobi, kesho...
Haya ndo matatizo:
- Wanajijua ni wazuri, full kiburi.
- Wakiwa wa Mama wa Nyumbani ni wavivu ku keep up na urembo.
- Wakiwa wafanya kazi lazim wamegwe, hakuna namna.
- Ukiona kafanya kazi miaka...
Salute Comrades..
Nimeangalia hii season kuna vipande sijavielewa kabisa mwenye kuelewa anipe Summary..
Kipande kipi..?
-Ni kile kipande kinachoanza Baada ya Rais kudunguliwa na Bomu rakajeruhika...
kumekuwa na wimbi la kutusengenya sana wanaume wa huu mkoa wetu pendwa wa dar..
Sasa hembu leo tuwacheki hawa dada zetu.. wanawake wa dar.. hivi viumbe ni hatari aisee yani ukiweza kwenda navyo...
Nimekuwa nikisikia mara kwa mara watu wakipondea au kushalow watu wasomi ambao bado wana amini katika nguvu za giza, wakiwa na factor pekee ya ukiwa msomi basi umefunguka fikra hutakiwi kuamini...
Hii Ndoto inanisumbua Mwaka wa 12 Huu.
Baada ya kutafuta nasaha kwa ndugu jamaa na marafiki, nilifanikiwa leo kupata nasaha kwa rafiki yangu mmoja...akanipeleka mahali kwa Mmama mmoja hivi (I...
Hili bata linaloendelea hapa sio la nchi hii. Muziki mzuri, kumejaa watoto wazuri balaa! Ratio ya men/women ni 1:4 ni hatari.
Kama kuna mrembo wa JF hapo aje mezani kwangu nimuagizie bucket ya...
Habari wana JF hope mko vizuri.
Niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna mama mmoja hapa mtaani from nowhere kaniita chek bobu, nimeumiza sana kichwa kujua maana ya hilo jina ila nikakumbuka kuwa...
Wakuu kitovu kinawasha tangu juzi. Nimekisafisha vizuri kabisa(hakikuwa kichafu sababu nasafisha daily lakini nimefanya tu just incase) lakini hakijaacha.
Kinawasha kila baada ya muda kidogo na...
kwa mim na Demiss raha tunazopata sijui tu japo yeye sijajua kama ni kweli na mshana wake ila kupendwa raha nyie hasa mwanaume anapojitambua hamuwezi amini nishamsahau hata ulimwengu kuna watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.