Hello!
Kitambaa gani cha sofa kizuri ambacho rangi ya ung'avu inadumu kwa muda mrefu.
Kitanda gani kizuri kati ya kile chenye uvungu na kisicho na uvungu (kitanda cha box)?
Salaam,
Natumia hii account kwa mara ya tatu leo kwasababu maalum.
Mada yangu leo inawahusu warembo wa JF, jamani huu ukurasa hauna warembo wazuri? Nimebahatika kufahamiana na kukutana na watatu...
Wakuu,
Katika maisha kuna mambo ambayo huna budi kuyaamini tu, hata kama umehadithiwa na hukuyashuhudia mwenyewe. Kwa mfano, mtu akikuuliza:
“Ulijuaje kama mwaka wako wa kuzaliwa ni sahihi?”...
Kwanza niseme natanguliza heshima zote kwako best yangu Marry Diana.
Pengine utafurahishwa ama kuchukizwa na bandiko hili, siwezi kuzuia hisia zako lakini ninaweza kuzipooza kwa kusema neno...
Katika tukio lililogeuka burudani ya ghafla katikati ya huzuni, mpiga tarumbeta mmoja nchini Kenya amezua kicheko wakati wa mazishi baada ya tarumbeta yake kushindwa kutoa sauti stahiki! 😅
Video...
Kitu gani umefanya siku za karibuni au huwa unafanya mara kwa mara kujipa raha mwenyewe au kupata furaha.
Naanza:
Kufanyiwa oil massage (kukandwa kandwa )
Tendo la raha / Ngono (Kuna mtu...
Kwa Dar ni kawaida sana unaweza kuishi miaka na miaka bila kuonana na ndugu au jamaa yako anayeishi hapohapo Dar labda hadi muwe mmekubaliana muonane.
Kuna mkoa gani mwingine una sifa kama hiyo...
Mhhh, watu wanapeana ushirikiano jamani. Inaonekana huu mchezo unapendwa na jinsia zote, sasa ni kuwatenganisha tu kama talebani.
====
Pia soma: Wanawake na tabia ya kutusogezea makalio...
Nyuzi ya kutambua waliotufurahisha kwenye majukwaa ya JF kwa nyuzi walizoandika au majibu waliyotoa kwenye replies ndani ya wiki hii.
Watu walionifurahisha humu ndani wiki hii ni Nusratt ...
Shalom,
Daah nimepita jumapili na jumatatu pale Arusha Kila mwenye Bar anafanya ubunifu wa kuweka Wahudumu Wenye Matako mazuri na makubwa ni full shangwe.
Sijui hii tabia ya Arusha na matako...
Ipo hivi nilimuita mshikaji tupige story moja mbili sasa tulianza usafi hapa na pale baada ya kumaliza nikaanza kuandaa chakula namuona jamaa ana zunguka ndani na viatu nikamchana sipendi mtu...
Eli Cohen ndiye modi aliyejipiga ban baada ya kupata udhuru fulani na baada ya kumaliza shughuli zake akabonyeza kitufe cha kurudi hewani na amerudi.
Alimpiga mvua kwanza memba mmoja nayeitwa...
Manyanza ni mchangiaji maarufu sana kwenye JamiiForums, mwenye miaka zaidi ya kumi kwenye jukwaa. Anajulikana kwa ushauri wa kina, misimamo ya kidini, na mijadala ya kujenga jamii. Ni mtu...
Katika ukuaji wangu huu sijawahi kuona mtu yeyote yule akienda kuomba ushauri kwa maiskini.
Sababu kuu itakuwa ni nini?
Tunawadharau,
Hawana mawazo,
Hawana dira,
Ubongo wao haufanyi kazi au...
Maisha ni magumu kwa asiyelima na kufuga, anayetegemea apate shilingi mia ndio iwe unga, kitunguu, nyanya n.k
Kama una lima na kufuga, tayari unakuwa na uhakika wa chakula pamoja na hela za...