JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Daahhh miss chaga popote ulipo nimekumiss sana. Ingawa hatupo kimwili lakini kiroho nakukumbuka sana. Michango yako matata na vibonzo vyako vimekosekana sana humu. Upatapo ujumbe huu tafadhali...
1 Reactions
5 Replies
694 Views
natumai wazima wa afya,..ndugu zangu mnaotumia jamii forum kwanza naomba msinichoke kabisa kwa sababu haya maagizo niliyopewa namoyo wangu kupitia mkono ambao umeandika yafike hapa pahala...
4 Reactions
88 Replies
4K Views
Hali zenu wapendwa? Alfajiri tumemkamata mwizi wa majumbani, kabla ya kumuadhibu nikataka kujua ni wapi wanapozipata dawa za kupulizia watu madirishani mpaka wanapoteza fahamu. Sikuamini jibu...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Natoa pendekezo hapa kwa wana jf mliomo humu tuanzishe mchakato wa uongozi kama vyuo vikuu, Tff, au hata Nchi, yaani kuwe na rais,makamu,waziri mkuu,waziri wa ulinzi nk.mimi naanza kumpendekeza...
3 Reactions
58 Replies
3K Views
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Salaam wana Chit Chat! Natumai popote mlipo Pasaka yenu imeenda na inaendelea kwenda vizuri. Nichukue fursa hii kuwakaribisheni jikoni kwetu [mimi na Kisura....daddy-daughter tag team]. Leo bi...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Tafakari hii !! Demu: baby nikwambie kitu... Boy: Ee kitu gani hicho baby? Demu: Baby nina njaa mwenzako yan!! Boy: sasa nifanye darling ? Demu: Baby fanya mchakato wa hela ya chakula...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari wanajamvi, katika harakati za kutafuta fulsa nimeiona fulsa katika biashara ya saluni. nimefuatilia biashara hii kwa muda mrefu nimeona kuna maeneo wateja bado hawajafikiwa, sasa sijajua...
0 Reactions
6 Replies
734 Views
Kama ilivyo siku nzuri kabisa ya leo imefika, tunamshukuru Allah katupa neema kote dunia sisi tulio wazima wa afya. Ifahamike kuwa siku ya leo tunaazimisha siku, ya kufufuka Bwana wetu, Kristo...
0 Reactions
14 Replies
892 Views
3 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari za mchana wa kuu? Natumauni nyote ni wazima wa afya baada ya kukaa kimya na kutafakari ukazaji wa vyuma hapa kwa MAGUFULI nikaona kwajiri ya kuliwazana nije na huu uzi Lengo kuu la huu...
0 Reactions
40 Replies
3K Views
Hii sio sawa, Huyu Bnt ni rafiki wa kitambo sana, mara nyingi amekuwa akiomba game tukumbushie ya ujana ila kulingana na majukumu ilishindikana Sasa wiki jana nilimwambia nko Mwz akafurahi kuwa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
On a scale of 1 - 10, matumizi yako ya condom/kinga yakoje?
8 Reactions
165 Replies
6K Views
Jana katika pirika pirika zangu za kuzunguka jiji la Dsm nikiwa natokea feri, kuna kituko kilitokea kikamuacha kila mtu mdomo wazi na minong'ono ya hapa na pale. Kuna kijana mmmojaa ambaye jina...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Ambao hamjalala nawasalimu, Kama kiulizavyo kichwa cha habari hapo juu,kama kuna member yeyote (asiwe me) anataka kugegedwa nami ndotoni akuje tafadhali.
4 Reactions
89 Replies
4K Views
Ijumaa njema na iwe kwetu sote, Leo asubuhi wakati namsaidia mama watoto kufua nguo (kama kawaida yangu pale nipatapo wasaa), mke wangu alikwenda dukani na aliporudi akanikuta nikiendelea na...
9 Reactions
86 Replies
6K Views
To cut story short, pitia profile yangu kuna uzi 2 nimeeleza kuhusiana na ndoa yangu... Thing is, nimeoa kwa kuwa nilikuwa nahitaji kukaa na mwanangu, mwanamke upendo ulishaisha kitambo, ni...
2 Reactions
57 Replies
4K Views
Tupia hapa uwongo wa kumwambia umpendae / rafiki sikuku ya wajinga tarehe 1/04/2018. Ili nasi tuweze ku fowadiii.
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Back
Top Bottom