JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Umemkopesha rafiki yako wa karibu Tshs 400,000 mwaka jana, lakini tokea wakati huo amekuwa mgumu kulipa deni hilo, kitu kilichochangia kudorora kwa urafiki wenu. Unamuomba akulipe basi walau Tshs...
5 Reactions
72 Replies
3K Views
Kwanza jaman Niliwamiss sana Demiss miye mama ntilieee miyeeee . Kabla ya yote shukrani kwa member hawa Mwifwa Zero IQ Samweli faraj mmepambana sana kunirudisha jf mungu awabariki sana japo najua...
18 Reactions
211 Replies
10K Views
Habarii wadaw... Inawahusu wanaume.. Kama msichana atakutupa kwa sababu huna pesa, na baadaye unapopata pesa akarudi tena kuomba msamaha,,, ndugu yangu msamehe, mpe ahadi ya ndoa, mwambie...
15 Reactions
24 Replies
5K Views
Utajua ana uvumilivu kiasi gani. Utajua kama ni pesa zilimvuta kwako au mapenzi ya kweli. Utajua mapenzi yanapungua, yanaongezeka ama kama siku zote. Utajua ...
3 Reactions
50 Replies
10K Views
Nilishajiridhisha siku nyingi kuwa hapa JF ni kisima cha faraja na pia kuna maudhi madogo madogo. Nina tatizo na jirani yangu kiasi kwamba nimekosa ufumbuzi hadi nimefikia maamuzi ya kuwaomba...
7 Reactions
125 Replies
9K Views
*Maisha sio poa kabisa Jamaa yangu amemaliza kuandika kitabu kuhusu mbinu za kupata pesa. Sasa anatafuta pesa kwa ajili ya kuchapisha kitabu hicho.* *Ameniomba pesa nimemwambia asome kitabu...
5 Reactions
6 Replies
3K Views
Mwanzoni kabisa nafungua akaunti hapa jf niliwahi kuona signature ya member fulani hivi lakini mpaka leo sikumkariri sasa kama kuna member humu anamfahamu anitajie jina lakge ''ukiokota bunduki...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Utakuta mwanamke unajitutumua kwa nguvu zote ili aonekane ni wa ghali au wa garama wakati wanaume hata hawajui tofauti kati ya Brazilian hair na manyoa ya kondoo...
19 Reactions
105 Replies
5K Views
Habari za mida hii wana chit chat..... Bila kupoteza muda mida hii nimeshtuka kutoka ndotoni ila najilaumu sana kwa ndoto tamu kukatika mapema hivi! YALIYOJIRI NDOTONI. Wakuu leo nimeota wadada...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Ukiamua Kuwa na Mahusiano na Mume wa Mtu Lazima Ukubali Kuwa Mtumwa wa Mambo Yafuatayo: 1. Baby samahani dakika moja,wife anapiga simu 2. Baby muda umeenda Sana mke wangu atanipigia, wacha...
11 Reactions
130 Replies
11K Views
Nilikua nawaza tu Hivi hii JF forum hatuwezi kuichange iwe saccos,then tununue magari yetu mazuri, mabus na boda boda zituletee faida,. hiyo faida tununue meli nyingi za kusafirisha mafuta na...
5 Reactions
4 Replies
2K Views
  • Closed
Hakika yangu wote buheri wa afya Nianze kwa kusema inzi akiicha ujinga anaweza kutengenzea asali tamu kuliko nyuki.jf kwangu ni freezone pamoja na kujifunza kwa wengine sijui wanaichukuliaje...
4 Reactions
412 Replies
14K Views
Basi enzi hizo tuko chuo kuna rafiki zangu walikuja kutoka Marekani wakanialika lunch na marafiki zangu apartment kwao. Tukaenda na rafiki zangu watatu jumla tukawa wanne. Kufika wakatuchomea...
7 Reactions
120 Replies
9K Views
Wanajamvi Habariiiiiiii.... Nadhan sio mim tu jaman! yaaan koment nying humu jukwaan utaona mwishon mtu anamtag Mahondaw yaaaan cc: Mahondaw Wenye ufaham naomba mnijuze kidogo huyu Mahondaw ndo...
0 Reactions
76 Replies
4K Views
Naomba kujulishwa makadirio ya kutia bati na Gypsum board kwenye nyumba ya 150sqm ni kiasi gani?
0 Reactions
1 Replies
707 Views
Ni aibu kubwa mwanaume wa 30+ una nguvu zako,huna ulemavu wowote,unautimamu wa ubongo, watoto wa shule wanaomba lift asubuhi unawasimamishia gari wanakuja mbio kupanda mara na limwanaume nalo...
11 Reactions
197 Replies
15K Views
Half time; Azam fc 4 vs prizoni 0
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Job Interview. MP OFFICER:- What is your name? Monday:- M.P. sir OFFICER:- In full please Monday:- Monday Paul OFFICER:- Your father's name? Monday:- M.P. sir OFFICER:- What does that mean...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna jamaa kapigwa swali na mwandishi baada ya mahojiano kama hivi: Mwandishi;unawashauri nini vijana wanaovuta oksijeni?? Jamaa;aseee nawashauri vijana waache kuvuta oksijeni kwani sio nzuri na...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Aisee huyu jamaa huwa anatupatia malisho mazuri sana kwenye motivational tips zake kupitia facebook page yake ila kwa muda sasa Facebook page yake haipatikani hewani "kunani"?
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…