Salaam Jamii Forumians.
Naamini kila binadamu hufikiri kwa wakati wake na kwa namna yake. Lakini wengi tufikiria tunapokua wenyewe (alone). Wengine wanaenda mbali zaidi kiasi cha kukosa usingizi...
Naamini kila mtu yupo sawia kabisa kama wine nyekundu.
Hapa jukwaani, imewahi kuzuka mijadala mingi mno kuhusu wanaume wa Dar na wa mikoani. Tumetupiana sana vijembe na dharau.
Wanaume wa Dar...
Mboga hutumika kukoleza utamu wa chakula na kukifanya kiwe rahisi kulika
Kuna mboga tamu, na mboga tamu zaidi.
Hawa wadada wa jf ww unawafananisha na mboga gani tamu ambayo ww hupenda kuila...
Habari za Jumapili wanajamvi...
Nimetimiza mwezi mmoja na cku kadhaa toka nijiunge rasmi na JF. Kiukweli nimejifunza mengi, nimekutana na mengi humu ya kukatisha tamaa, kuumiza, kuvunja moyo hata...
No chill in Africa
VITU VINAVYOTAMBULISHA UAFRIKA
1.kukojoa nyuma ya ukuta
2.mke kulala ukutani
3.ufagio unakaa nyuma ya mlango
4.ukiwa tajiri ni freemason
5.kufulia chupi maji yaliyobaki baada ya...
Amani iwe juu yenu ndugu zanguni.
Leo nimeona nine tushee hapa jinsi mtu anavoonekana fb na muonekano wake hapa.
Kuna members humu laiti wangekujua kwamba fulani ninachat huku ndo yule wa fb...
Wakuu msaada please najaribu cheki chanel ya azam Sport wanaonyesha Yanga na uchafu gani sijui, Azam sport HD wanaonyesha Madrid na Barca. Nisaidie jamani washkaji wanakuja geto kucheki hafu naona...
Ndio maana anafanya atakalo, hamna wa kumziba mdomo. Hata kaka yake hana la kumfanya hata akikosea vipi.
Kwenye maagano yake hayo ya ki Pepo ndio kizazi chake lilipotolewa kafara, kamwe hawezi...
_*Nawasalimia [emoji68]MADEM [emoji70]wale mnao GOOGLE chakula na kupost mitandaoni ili muonekane ni wakishua kumbe wa MBAGALA,*_
_*Nawasalimia MADEM weupe [emoji70]mitandaoni ila mkiwa kwenu...
Dear Miss Natafuta,
It's been long that I've been on the queue waiting for your decision whether you will accept me to be your husband for the rest of life, am now out of the queue waiting for...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.